Recent content by cmp

  1. cmp

    Hayati Magufuli alichukizwa sana na waliotaka abadili katiba ajiongezee muda ndio maana Ally Kessy hakurudi Bungeni

    Hata Ndugai mkuu nina uhakika tena alikuwa front line kuhakikisha 2025 jamaa anaongezewa muda.
  2. cmp

    Hayati Magufuli alichukizwa sana na waliotaka abadili katiba ajiongezee muda ndio maana Ally Kessy hakurudi Bungeni

    Vipi kuhusu Ndugai mbona alirudi mjengoni licha ya kusisitiza kwamba "atake asitake tutamuongezea muda".
  3. cmp

    Hamas: Tunawashikilia maafisa 30 wa Israeli "Mahali salama

    Basi wawaokoe hao mateka wao. Maana si wana intelligence kali kwanini mateka hadi leo wapo mikononi mwa Hamas mwezi wa saba unaisha huu.
  4. cmp

    Vijana ambao mnatafuta Ajira Ogopeni Sana hizi namba za simu

    Kwani hiyo ajira ilikuwa na kipengele cha kutanguliza laki 8 kama security ya ajira? Upumbavu ni mzigo acha kutetea mambo ya utapeli wa kizamani.
  5. cmp

    Maajabu: Simba yaingia nusu fainali kibabe Kombe la Muungano

    Mechi yoyote.
  6. cmp

    Mpenzi wangu kakubali kukutana kimwili na rafiki yangu

    Bora wewe umejiweka wazi kabisa wadau wanajua wakija kwako it's all about business no future at all.
  7. cmp

    Je, Unaitaji Kumiliki Simu Ya Ndoto Yako Kwa Bei Nafuu? Usiache Kupitia Huu Uzi

    Nina Galaxy A14, 4GB RAM , 128GB storage. Bado mpya kabisa ina miezi minne tangu niinunue. Nahitaji Samsung Note 10+ ya laini mbili. Je, ni top up bei gani?
  8. cmp

    Rushwa kwenye Serikali za Mitaa

    Nilichogundua watanzania wengi wanapenda rushwa iwe kutoa ama kupokea maana hapa badala ya kukemea kjjana mwenzetu kuombwa rushwa ili agongewe muhuri badala yake mnamponda kwamba atoe rushwa. Ndiyo maana hata askari barabarani wamehalalisha rushwa kama sehemu ya maisha yao kwasababu wanaoombwa...
  9. cmp

    Rushwa kwenye Serikali za Mitaa

    Kuna mtu aliwalazimisha kugombea nafasi ambazo wanajua kabisa hazina malipo? Tena mpaka wengine wanafikia kulogana kwasababu tu ya nafasi ya mwenyekiti wa serikali ya mtaa.
  10. cmp

    Haya maji yanayong'arisha Wasanii ni yapi?

    Hapa kuna ukweli mkuu. Hongera umejibu kisomi sana.
  11. cmp

    Jina Zuri la kiafrika la mtoto wa kiume

    Dimakatso.
  12. cmp

    Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

    CCM wamemuita mwanachama wao kumuonya kwahiyo hawajakosea. Upande wa serikali nao wakiona inafaa watamuita kwenye secretariat ya maadili ya viongozi wa umma.
  13. cmp

    Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

    Kweli ni ndoto ya kimweri.
  14. cmp

    Onesha mapenzi yako wazi wazi kwa umpendaye

    Naamini bado upo level ya sekondari ndiyo maana umedata na huyo mchizi wako ambaye hana majukumu yoyote zaidi ya kupewa matumizi na wazazi then anakupasishia japo buku mbili. Ukikuwa sasa ndiyo utajua uachoongea sasa ni upuuzi mtupu.
  15. cmp

    Nahisi GSM na Hersi wana nia mbaya kwa mashabiki wa Simba. Ukweli wote huu hapa

    Sina uhakika na jinsia yako but I guess ni ke.
Back
Top Bottom