Recent content by Night Watch

  1. Night Watch

    Rushwa kwenye Serikali za Mitaa

    Nadhani ni utaratibu wa ofisi na ofisi, mfano mimi ninako ishi sijawahi kuombwa fedha yoyote ili nigongewe muhuri wa serikali ya mtaa, nakumbuka miaka ya 2015's wakati naomba mkopo wa HELSB kwa ajili ya chuo niligongewa muhuri bila malipo yoyote, mwaka jana pia nilienda kuchukua barua ya...
  2. Night Watch

    Tangazo la ajira za muda tume huru ya uchaguzi

    Oya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  3. Night Watch

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    Tanesco wanapenda kuuzi watu[emoji35]
  4. Night Watch

    Mara ya kwanza kuwaona kunguni kitandani kwangu akili iligoma kukubali!

    Hawa jamaa kwa mara ya kwanza nilikutana na Chuo nikiwa mwaka wa kwanza,aseeeh ile Semester ya kwanza niliteseka mno kwenye suala la kulala. Kwenye hostel yetu kila chumba kulikuwa na vitanda viwili kwa hiyo tulikuwa tunakaa wawili, mimi na roommate wangu ilibidi tubadili ratiba ya kulala mana...
  5. Night Watch

    TBC, mnaajiri mambumbumbu?

    Meli itafika Sudan Kusini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  6. Night Watch

    Binti atoa penzi siku 3 bila ridhaa yake, na kesi kashindwa

    Ndio kitu cha kujiuliza imekuwaje wame cite wrong provision.
  7. Night Watch

    Binti atoa penzi siku 3 bila ridhaa yake, na kesi kashindwa

    Mkuu ushahidi upo wa kutosha kabisa kwenye hiyo kesi,tatizo ni kwamba huo ushahidi uliokuwepo na ambao ulitolewa na muhanga mwenyewe wa hilo tukio haukuendana na kifungu cha sheria ambacho mtuhumiwa alishitakiwa nacho,ushahidi uliotolewa unaangukia kifungu cha 130 (1) (2) (a) lakini kwenye hakti...
  8. Night Watch

    Binti atoa penzi siku 3 bila ridhaa yake, na kesi kashindwa

    Hawezi tena kufunguliwa mashtaka upya ndio nitolee hiyo double jeopardy rule inamlinda.
  9. Night Watch

    Binti atoa penzi siku 3 bila ridhaa yake, na kesi kashindwa

    Wakulaumiwa ni State Attorney kwa ku cite provision ambayo sio sahihi na haiendani na ushahidi,yani kesi imesikilizwa kuanzia mahakama ya wilaya hadi hukumu inatoka hawakugundua hilo na mtego huo huo Jaji wa mahakama kuu hakuona hayo makosa kwenye rufaa hadi wazee wa juu ndio wameona.
  10. Night Watch

    Kwenye msitu wangu kuna black mamba/ koboko natafuta njia za kumwangamiza bila kuleta madhara kwenye jamii

    Kuna kipindi huwa naangalia kwenye channel ya Natio Geographic Wild kinaitwa Snake in the City,kwa jinsi Black Mamba anavyoongelewa mule kama nyoka hatari zaidi barani Afrika,lakini wewe kwenye comments zako ni kama una mu underate nashindwa kuelewa,je ni kweli hata wale jamaa wa snake in the...
  11. Night Watch

    WanaJF wengi wanaandika maoni yao kwa kuangalia “reply” za mwanzoni ? No critical thinking

    Kuna watu tayari huu uzi wamerudia yale yale yaliyosemwa na mtoa mada na baadhi ya wachangiaji.
  12. Night Watch

    Mchekeshaji Nyanda Kabundi fanya haya

    Naona U fm Radio ya Azam pia wamemtumia kwenye tangazo lao.
  13. Night Watch

    FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

    Simba tukiwaambia hamna timu muwe mnatuelewa sio kwamba tunawaonea,kile ni kituo cha kulea wazee na sio klabu ya mpira. Uzi tayari.
Back
Top Bottom