Recent content by ChocolateColor

  1. ChocolateColor

    Mwanamziki mwingine Msondo Ngoma afariki dunia

    poleni sana wafiwa wote Mungu ailaze Roho ya marehemu mahali pema Amina.
  2. ChocolateColor

    DC Bukoba aamuru walimu wachapwe mboko!

    poleni sana walimu wote mliyopata mboko sasa kama wanafunzi wenyewe walikuwa hawaelewi yaani vichwa vizito!! mkuu usilaumu upande mmoja
  3. ChocolateColor

    Kwanini watu wanacheat?

    Mungu atusaidie kwakweli na hili janga la Ukimwi,
  4. ChocolateColor

    Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    poleni sana wafiwa na majeruhi Mungu awasaidie ili wapone.
  5. ChocolateColor

    TID Atoka Kifungoni kwa Msamaha wa Rais

    ohhh afadhali TID ametoka
  6. ChocolateColor

    Picha - Majambazi yakamatwa yakiiba hoteli ya Mtanzania

    majambazi wakikamatwa jamani wauliwe ili wapungue hii kuwapeleka rumande siku mbili tatu katoka kwaajili ya dhamani alafu anaendelea na kazi yake yaani mmmm sijui!!
  7. ChocolateColor

    Sakata la Wazee EAC: Litaisha lini?

    inasikitisha kwakweli
  8. ChocolateColor

    Mtanzania apata ajali Michigan, Mahututi..

    poleni sana wafiwa na Mungu aiweke Roho ya marehemu mahali pema AMEN
  9. ChocolateColor

    Abakwa mpaka kufa!

    kweli kifo cha huyo dada wa majengo kwa mtei kimeniuma sana kwani namjua sana huyo dada alikuwa hana story na mtu kabisa zaidi ya salamu basi na kuingia kazini na huyo dada alikuwa ni yatima analea wadogo zake sasa wamemuua wadogo zake watalelewa na nani?? yaani inasikitisha sana Mungu anawaona...
  10. ChocolateColor

    Lundenga atelekeza familia

    pole sana mama kwa kuachiwa familia naomba mahakama ihakikishe kuwa huyo mama anapata halali yake yaani nyumba wamejenga wote alafu anaenda kukaa na mkwe mwingine kweli wamama tunanyanyasika sana katika ndoa zetu Mungu azidi kutupa uvumilivu.
  11. ChocolateColor

    Asiyewahi kucheat na ataje jina kamili humu

    Mi nimeshawahi kutoka mara xxxxxxxxx
  12. ChocolateColor

    Naombeni ushauri

    pole sana ndugu yangu mpendwa kwa hiyo ndoa yako ya muda mchache na matatizo hayo piga magoti kwa Mungu wako ili uiombee familiya yako.
  13. ChocolateColor

    SMS iliyoniamsha.. kuna kusalimika?

    makubwa!!!!
  14. ChocolateColor

    Wanafunzi kukaa uchi kwenye matamasha ni dhana au laana?

    Hiki ni kizazi cha nyoka jamani kwani hata njiani utakuta binti kavaa nguo imemuacha maumbile yake wazi yaani mi sipendi basi tu sina chakufanya!!!!
  15. ChocolateColor

    Wahaya tunachunguzwa sana katika mapenzi, why?

    Mi naona wahaya kwa sasa wamepunguza majida wamasai bwana mmmm njoo Arusha umkute mmasai aliyeenda kidato au aliyebahatika akakamata mawe (madini) utachoka!!!!
Back
Top Bottom