Recent content by Chitu

  1. Chitu

    TPDC - Tanzania petroleum Development Corporation

    Hivi jamani TPDC (Tanzania petroleum Development Corporation) ni Academic institution au ni Youth-led government corporation? Maana kazi zao wakitangaza umri ni miaka 30-35 au uwe umefaulu kwa alama ya upper 2nd au First class.....Kwani umri huu na ufaulu huu ndiyo unaleta tija katika kujenga...
  2. Chitu

    People and Power: How to Rob Africa

    I think most of us in Africa our blood is full of wicked intentions as such when we born we are already contaminated.
  3. Chitu

    Sheria za uchimbaji madini

    Hi, Tumeona kwenye Dhahabu na sasa ni zamu ya kusini kwenye gesi: Naomba msaada kama kuna mtu analink au docoments zinazoelezea sheria inayobana wawekezaji (wawe local au international) katika kulipa eneo husika au kubanwa kuleta maendeleo kutokana na faida ya kazi zao, je kuna % yeyote...
  4. Chitu

    Kuwa waziri kabla ya kuapishwa kuwa mbunge

    Jamani hii lugha ya katiba inahitaji weledi kuijuwa: maswali yangu je, Bunge limevunjwa? Je lini hawa mawaziri wanaanza kazi? Kwangu sioni uvunjwaji wa katiba maana rais ananafasi 10 za kuweka wabunge wake, na rais anateuwa mawaziri kwa ushirikiano wa waziri mkuu ambaye pia yupo, so what wrong...
  5. Chitu

    Bei za cooking gas

    Kaka mtoa mada umenikuna sana, swala hili mimi linaniumiza kichwa japo si ishi Tanzania na hata nikija huko situmii hiyo gazi ila bado ninawasiwasi viongozi wetu kama wanaupungufu wa mawazo kidogo. Ukienda kwenye kampeni zao watasema hadi mapovu kuwatoka kuhusu manufaa ya mazingira, ukirudi...
  6. Chitu

    Muda wa kuapishwa kwa rais baada ya uchaguzi, nataka probation kwa rais mtarajiwa

    Kutokana na mchakato wa kuandika katiba mpya mie nina 'oni' moja tu nalo ni kuhusu kula kiapo kwa Rais, katika nchi zinazoendelea rais akitangazwa tu jioni kala kiap. Kwa mtazamo wangu hii kwa kiasi fulani nadhani inachangia katika uibaji kura hasa kwa wale ambao wapo madarakani. Kwavile tuna...
  7. Chitu

    mr. Blue kafiwa na mama yake mzazi

    :shock: R.I.P mama....
  8. Chitu

    Mpenzi wangu hapati raha ya mapenzi kabisa, naombeni msaada wa contact za geno au wataalam wa matati

    Kaka hapo ni mawili either Smile is right or yourself have kind of problem ambayo haujagundua. Sisi wanume tunatatizo la pre-ejaculation though haujaeleza kwa undani how you carry out your assignment ila kwa mtazamo wangu hapo unatatizo la kufika kileleni mapema kiasi binti hapati vile vitu roho...
  9. Chitu

    Vyuo hua vina matter katika kuajiri?

    Tena hili la msingi sana, na hasa kuwaambia maprofessa wa pale mlimani kwamba wanabana sana marks bado wanamawazo yale ya mwaka 47.... Nilichogundua baada ya kutoka mlimani kuwa kuna vitu nimelost kwa sasa hata mdogo wangu sitamshawishi kwenda kusoma pale...asikudanganye mtu kama alivyosema Pele...
  10. Chitu

    Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...

    Wewe umetoa ushauri mzuri na pengine ni dawa pia lakini kunamapungufu katika maelezo yako. Kwanza haya matatizo yanaendana na matatizo ya kiisaikolojia ili kwanza ndilo linatakiwa kutatatuliwa, pili kuhusu dawa zako inavyoonekana hapa wewe umempa kama ni immediate solution kuwa akipata kitunguu...
  11. Chitu

    Mtoto wa kiume na mama yake wanalala Chumba Kimoja

    Swali ni je anafanya hivyo kwa kupenda au kutokana na ugumu wa maisha kwamba wana chumba kkimoja tu? Nadhani hapo ndipo unaweza saidiwa ipasavyo kama utafafanua.
  12. Chitu

    Elections 2010 Kapi la CCM (Dr Slaa) lilivyobadili siasa za upinzani Tanzania

    Duh kaka, i think you where wrong.........kwa taharifa ya ko PHD ya Slaa ni ya miaka 7, JK nasikia ana GPA ya 2.0, na aligraduate kwa amri ya mkuu wa nchi ambaye ndiye alikuwa chancellor wa chuo enzi hizo ndiyo maana kuficha aibu akapelekwa uko wilaya akawe katibu kata wa CCM...
  13. Chitu

    Elections 2010 Kuna aliyetarajia dr. Slaa kushinda urais?

    Tunaweza, nia hamna tu ususani hawa wanaojiita wapinzani maana wanashindwa kuunganisha nguvu...wakati wanelewa umoja ndiyo ulitufanya tupate uhuru, ulileta mabadiriko kenya, zambia, malawi, etc...Pili ni sisi wapiga kura, hivi tungejitokeza at leat asilimia 70, nadhani vibao visingesoma...
  14. Chitu

    Ushauri wa kuacha kazi

    Wewe vipi kila ofisi inautaratibu wake wa kuacha kazi...Ushauri pitia tena contract yako ujue utaratibu ukoje la utapelekwa mahakamani:A S angry:
  15. Chitu

    Elections 2010 AJABU: Kikwete amepata kura nyingi kuliko Dr. Slaa kwenye Jimbo la Mh. Mbowe?

    Muhimu hapa ni mabadiriko makubwa, wabunge wengi wa CAHDEMA inaonyesha jinsi gani Dr Slaa alivyocheza karata yake vyema, wabunge wengi, ruzuku kubwa kwa CHADEMA, mshahara mkubwa kwa Dr Slaa hata kama aendi bungeni...Hii ndiyo biashara ya siasa, maana inaonekana watu hawajui mchezo huu...:doh:
Back
Top Bottom