Recent content by ChipeTungi Jr

  1. ChipeTungi Jr

    Sababu 12 kwanini usimsamehe mwanamke msaliti…

    MSALITI HASAMEHEWI [emoji777] Back in the days mwaka 2017 wakati nd'o naanza kujitafuta kimaisha nikiwa bado chalii mwenye kiu ya mafanikio nilichomoka home nikaenda mbali na kuanza kujitegemea. Alhamdulillah life likanyooka fresh tu. Katika misele yangu nikakutana na manzi fulani ya kawaida...
  2. ChipeTungi Jr

    Yanga yupo kwenye kundi gumu ila fixture inaweza kumbeba

    Jogoo jike.. (Mtetea)[emoji1787]
  3. ChipeTungi Jr

    Orodha ya wasanii wenye majina makubwa lakini kiuhalisia hawana vipaji

    Mike Tee!!! Hivi unamjua au unamsikia tu.. Kamwene Mwanamkage[emoji41]
  4. ChipeTungi Jr

    Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    NAANZA LEO. NITARUDI TENA HAPA BAADA YA MIEZI 3. Let's do this..[emoji3578]
  5. ChipeTungi Jr

    Sijui huu ni mtego au...?

    Duh! Sawa mkuu.
  6. ChipeTungi Jr

    Sijui huu ni mtego au...?

    Hahah! Aisee
  7. ChipeTungi Jr

    Sijui huu ni mtego au...?

    Namjua kiasi pia nina mawasiliano na ndugu yake wa kike ambaye ni pacha wake anaishi Zanzibar.
  8. ChipeTungi Jr

    Sijui huu ni mtego au...?

    Kwa nini mkuu? Kabila lina shida gani hapo?
  9. ChipeTungi Jr

    Sijui huu ni mtego au...?

    Kiukweli nilishtuka baada ya kuniambia ni single mother. Binafsi siko interested na singles mother nimeamua kulikubali hilo sababu ya nguvu ya upendo. Tuliongea mengi hapa kati na niliwahi kumgusia kuwa natamani kufika Tanga na kujionea ukarimu wa watu wa huko pamoja na vivutio vingine vya...
  10. ChipeTungi Jr

    Sijui huu ni mtego au...?

    Aisee usiniambie ndio wewe mwenyewe ukhty wangu.
  11. ChipeTungi Jr

    Sijui huu ni mtego au...?

    Nilimuuliza mimi.
  12. ChipeTungi Jr

    Sijui huu ni mtego au...?

    Asante sana.
  13. ChipeTungi Jr

    Sijui huu ni mtego au...?

    Na hiyo nd'o hofu yangu maana hadi kupata hilo jibu lenyewe amenizungusha kidogo sasa iweje kwenye jambo hili liende haraka hivi.
  14. ChipeTungi Jr

    Sijui huu ni mtego au...?

    Nimekuelewa ndugu ila haikuwa na haja ya kutumia kauli zisizofaa.
Back
Top Bottom