Recent content by Escotter20

  1. Escotter20

    Mambo yatakayoifanya Young Africans kupoteza mchezo Ujao wa Derby dhidi ya Simba SC

    Mambo yatakayoifanya Young Africans kupoteza mchezo Ujao wa Derby dhidi ya Simba SC ✍️. Kila mchezo unaohusisha timu mbili ndani ya uwanja kuna anayeingia kama favorite (anayepewa nafasi kubwa ya kushinda) na kuna underdog (anayepewa nafasi ndogo ya kushinda). Sasa ipo hivi, kutokana na...
  2. Escotter20

    Ambaye ameweza kugundua Purpose ya maisha yake!! Aniambie alifanyaje fanyaje

    Nimefikisha miezi 5+..! Nataka nifunge miaka mbili bila ngono
  3. Escotter20

    Nimeamua sasa kuachana na ualimu na kwenda kusoma

    Usisnde kusoma acha upumbAfu
  4. Escotter20

    Labda anitekenye

    Dictator lazima ucheke.. Jamaa kwenye kikao na marais wa nchi anasema ntakua na speech naongea untranslated language 😅😅.
  5. Escotter20

    Mayele kasaini kandarasi ya miaka mitatu, kuitumikia simba msimu ujao

    Zilizotufikia.... Mayele ni mwekundu. Viongozi wa simba wameua ndege wawili kwa jiwe moja,wameitumia safari ya Simba Misri kumsajili MAYELE. unaambiwa Mayele katumiwa form ya usajili kwenye simu,na ameshasaini mkataba wa miaka mitatu ,hivyo kuanzia msimu ujao atachukua namba ya fred ambaye...
  6. Escotter20

    Mtabiri nchini Libya aitabiria Simba kuingia nusu fainali

    Mtabili maarufu wa nchini Libya Aboubakar El Han ametabili mechi za Caf champions league Huku akiwashtua watu wengi baada ya kusema Al Ahly ya Misri itatolewa na Simba kwenye mashindano hayo, Timu alizozitabilia kuingia nusu fainali nazo ni Simba Mamelody Esperance Tp mazembe Je, atafanikiwa.
  7. Escotter20

    Hizi ndio jezi za singida black stars

    Kama za utopolo
  8. Escotter20

    Forex sio mafanikio ya haraka kama watu wanavyodanganywa

    Broker atatoaje hela mfukoni ilhali 99% percent ya traders ni loser
  9. Escotter20

    Forex sio mafanikio ya haraka kama watu wanavyodanganywa

    We jamaa una ujuaji mwingi na kila nikisoma reply comments zako naona jinsi ubongo wako ulivo mweupe juu ya fx
  10. Escotter20

    Mke wangu karudi kwenye dini yake

    Kua wewe mkristo
Back
Top Bottom