Recent content by Chief Ken Lo

  1. C

    natafuta modem ambayo nitaweza weka line ya airtel!

    we una modem ya aina gani?
  2. C

    Lucas j. Makombe(kwiro sec school-2001) aliyepoteza certificate ya a level anitafute

    nashukuru mkuu... nitafanyia kazi ushauri wako...
  3. C

    Lucas j. Makombe(kwiro sec school-2001) aliyepoteza certificate ya a level anitafute

    nashukuru mkuu... unalionaje wazo langu, nitafanikiwa kumpata huyu mtu?
  4. C

    Lucas j. Makombe(kwiro sec school-2001) aliyepoteza certificate ya a level anitafute

    habari wanajamvi... nina A Level Certificate ya ndugu LUCAS J. MAKOMBE - KWIRO SECONDARY SCHOOL mwaka 2001... naomba ndugu huyu au yeyote anayemfahamu amjuze ili ani PM niweze mpatia mzigo wake huu... asanteni...
  5. C

    Long Distance Relationship: Raha, kero na jinsi ya kutunza mahusiano

    JIHESHIMU mkuu, post yako haiko poa!!! be a man.............
  6. C

    Nahisi napenda nisipopendeka. Je, ni uamuzi sahihi nilioufanya?

    uko sahihi mkuu... we sahau kabisa kuhusu yeye, endelea na maisha yako!!
  7. C

    Tabora: Wabunge wa CHADEMA waachiwa kwa dhamana; Kupokewa kwa maandamano Igunga

    mkuu upo nchi gani wewe? hivi bado hujaona athari za kuutambua huo msamiati? kitu nilichojifunza ni kwamba huwezi zuia wind of changess, kitu ambacho nawashauri hao wanaotumika kufanikisha wizi wa kura wakatiwe insurance na hao wanaowapa hayo maagizo ya wizi (ni kazi ya hatari sana) koz nyakati...
  8. C

    Kikwete aelekea US, Pinda atangaza ongezeko la bei kwa watumiaji umeme!

    huyu Mizengo Pinda simuelewi anaposema gharama za uzalishaji zimepanda, ina maana hili giza tunalogawiwa na Tanesco lina gharama zake... Wafikirie kwanza jinsi ya kuboresha huduma zao, then hilo la kupandisha bei lifuate...haiwezekani kila siku huduma ni za ovyo, ila bei zinapaa balaa!!!nafikiri...
  9. C

    Ninahisi Nimeadhirika na Ugonjwa wa Ukimwi

    ngosha mi nafikiri ujasiri uliokusukuma kupakua mzigo kavukavu, ujasiri huo huo hauwezi shindwa kukusukuma kwenda kucheck afya..... wahi kuwaona wataalam wa afya, kama ni matibabu yaanze haraka!! pole kwa stress
  10. C

    Mpweke!

    mkuu hizo rangi zako pita huku pande za bariadi, ila jipange wazee wa kinyantuzu wanapiga mahari mbaya ng'ombe 50/100 ni rahisi sana kukuropokea ili wakupe mke.......kila la kheri bro
  11. C

    Sijalielewa jibu lake!!!

    minyoo ina staili zake mkuu..... labda ulikuwa ukimnyoa stail moja kila mara, imemchosha kaamua kutafuta ma-professional!! ukiona manyoya usiulize...wahuni wameshakaa kati hapo, pole sana
  12. C

    Wanaume inakuwaje hamridhiki na wake zenu?

    usiwasemee wenzako.... uliza inakuwaje mume wako haridhiki na wewe? nafikiri ni jukumu lako kumridhisha mumeo, koz hawezi ridhika bila kuridhishwa!!nakushauri ujitume uwanjani jamaa atatulia tu....
  13. C

    Ninamashaka nae.....

    lazima anune mkuu, sio utani huo bali ulimchana live...... kimbia fasta ndugu atakuwa amevaa "explosive vest" hana cha kupoteza huyo!!
  14. C

    MAANA YA JINA "JEMBE" ni ipi hasa?

    mkuu hii kitu ilianzia pande za TMK, hii kwa kiswahili huwa inaitwa misimu JEMBE ni TEGEMEO FLAN, BILA HILO HAKUNA KITU KITAKACHOENDA SAWA..........mfano 1)Biashara, jembe ni mtaji - in red uko poa 2)Familia, jembe ni mhimili wa nyumba - m2 anaeiweka familia mjini 3)Soka, jembe ni key player wa...
Back
Top Bottom