Recent content by Basi Nenda

  1. Basi Nenda

    Rekodi ya kuuza copy nyingi, nani mkweli, Mr. Nice niliuza nakala 1.7 mil, feruzi 200k ndani ya wiki?

    Mleta mada ulizaliwa mwaka gani ? Enzi za Mr Nice vhs zake zilikuwa nyingi huyo ndio alikuwa Diamond alafu umlinganishe na ferooz !!! Mpaka umri huu sijawahi kuona vhs ya ferooz au msanii yeyote Tz zaidi ya Nice. Mpaka naweza kuamini Mr nice peke yake ndie alikuwa na VHS hao wengine labda...
  2. Basi Nenda

    Aliniambia hana hisia na mimi ila sasa hivi hachoki kupiga simu

    Huwezi kuelewa Mkuu. Kwani mawaziri wakimshukuru mama huwa unawaelewa ?
  3. Basi Nenda

    Maajabu: Simba dume wakipandana. Je, wanasayansi mko wapi?

    Kuna mbuzi wawili nilikuwa nawachunga mwaka 2011 madume. Limoja likampandia mwenzake likatomb* mchana kweupe
  4. Basi Nenda

    Maajabu: Simba dume wakipandana. Je, wanasayansi mko wapi?

    Demu hilo mimi kuna kipindi lilikuwa linanizimia kinoma
  5. Basi Nenda

    Aliniambia hana hisia na mimi ila sasa hivi hachoki kupiga simu

    Shukrani za dhati ziende kwa mama kwa kutufikisha hapa
  6. Basi Nenda

    Uongozi wa Hospitali ya Bugando chukueni hatua za haraka kurekebisha lifti zenu kabla hazijaleta madhara

    Kuna siku tumepanda ngoma ikasimama katikati huko imegoma kwenda chini wala juu.
  7. Basi Nenda

    Ukiwa mjinga ndio unaitwa “A caring and an understanding boyfriend”

    Hayo yote mliyosema ni batili. Ukijidai kauzu kwa mkeo na wakati usiku unalala nae unajamba jamba hakuna atakuona fala tu😂 Kikubwa mpende kiasi na muheshimu. Sasa mna self kila siku anakusikia chooni huko unakata gogo hata unune ni kazi bure
  8. Basi Nenda

    Ukiwa mjinga ndio unaitwa “A caring and an understanding boyfriend”

    Jamaa game anaombaje ? Au ndio ile "mama chacha, panua nikulenge"😂
  9. Basi Nenda

    Ukiwa mjinga ndio unaitwa “A caring and an understanding boyfriend”

    I knew this comment must have come from a feminist. No offense
  10. Basi Nenda

    Unatumia mbinu gani ili hasira ziishe?

    Makiwendo umenikwaza. Nilie ?
  11. Basi Nenda

    Angalia Treni za umeme zilivyolala hapa nchini China. Sisi tuna miliki nyoka wangapi?

    Viongozi wanapenda kuhutubia. Mi ningekuwa Majaliwa ningeonekana hadharani mara moja kwa mwezi
  12. Basi Nenda

    Angalia Treni za umeme zilivyolala hapa nchini China. Sisi tuna miliki nyoka wangapi?

    Unaongelea mjusi kama mjusi au mjusi yule mwingine?
Back
Top Bottom