Recent content by Yesu Anakuja

  1. Yesu Anakuja

    Hii vita kati ya mwanadamu na shetani ni vita ya uonevu(haina usawa na haki)

    umesema huwa unaona naweka magazeti yangu hapa, meaning yote yale huwa ni magazeti tena yasiyo na lolote. mi sikujua kama huwa hupendi kuyaona.
  2. Yesu Anakuja

    Hii vita kati ya mwanadamu na shetani ni vita ya uonevu(haina usawa na haki)

    aisee, kama wewe ni mzee wa neema au kondoo wake, acheni kupotosha watu. mwogopeni Mungu.
  3. Yesu Anakuja

    Umeumiza watu halafu unataka kuokoka bila kuwaomba msamaha uliowaumiza, hilo haliwezekani!

    kin kinyume chake, hiyo ni hukumu ya kibinadamu, ila kwa Mungu, anasamehe dhambi na hategemei mwanadamu asamehe kwanza ndio yeye akusamehe. wewe ukitenda dhambi, ni sahihi kwamba unatakiwa kutengeneza na wale uliowakosea, ila kufanya hivyo sio gharantee kwamba wasipokupokea hautasamehewa...
  4. Yesu Anakuja

    Rwanda itafaidika na nini kupokea wakimbizi toka Ulaya

    nadhani faida yake ni kwamba, atakuwa allies mkubwa wa magharibi eneo hilo hasa wamagaribi wanaotaka kuchuma congo, atasaidia kwenye silaha na technolojia jeshini, na labda cash money kidogo tu. otherwise, kuna asilimia kubwa sana wakimbizi watakaopelekwa rwanda wasiishi hata mwaka mmoja...
  5. Yesu Anakuja

    Hii vita kati ya mwanadamu na shetani ni vita ya uonevu(haina usawa na haki)

    mbona hapa inaonekana kama wewe ni mzee wa neema au kondoo wake? endelea kufunguka. hakuna lolote lililositirika litakalobaki vilevile, yote yaliyofanywa gizani yataanikwa mezani hadi kila mwanadamu ajue mnatumiwa na shetani, hamna Mungu kabisa. zaidi ya yote, kimbieni hukumu ya Mungu kwasababu...
  6. Yesu Anakuja

    Hii vita kati ya mwanadamu na shetani ni vita ya uonevu(haina usawa na haki)

    Mkuu, niwe mkweli, nilikuwa sijui kama huwa unachukia nikipost mistari ya Biblia hapa, hadi sasa umenifumbua macho. nakushauri okoka, mpe Yesu maisha yako, hukumu inakuja. Mungu akusaidie.
  7. Yesu Anakuja

    Mohamed Issa: Wanaotoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar wawe na Passport

    na yeye akija bara aje na passport? na passprt yenyewe ya tanzania au ya zanzibar?
  8. Yesu Anakuja

    Kamanda Muliro: Malisa GJ, Boniface Jacob wakamatwe kwa tuhuma za kupotosha taarifa za kifo cha Robart Mushi

    hiyo wanaenda hata leo wanakamata daktari anaandika kwa kubackdate. cha kuwaambia tu ni kwamba amefariki, basi, mwogopeni Mungu ndiye aonaye sirini. na hakuna damu ya mtu huwa inaenda bure.
  9. Yesu Anakuja

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    mzee Mohamed Said upeo wake umeishia hapohapo, kuna vimagazeti huwa anaandika anadai ni vitabu vimejaa umbeya na uswahili wa aina hiihii na analazimisha watu waamini kwamba ni vitabu na kwamba vina maana yeyote.
  10. Yesu Anakuja

    Hii vita kati ya mwanadamu na shetani ni vita ya uonevu(haina usawa na haki)

    yaani haya matusi yote, sioni wapi yana sababu. pole kama umekwazika, ila unatakiwa umtafute Mungu. tuishie tu hapo. Mungu akusaidie. at least, kilicho moyoni mwako kimetoka na umekuwa defined who you are.
  11. Yesu Anakuja

    Jihadharini kuabudu wachungaji Wanadamu!

    ndugu yangu, hakuna eliya wawili kwenye malaki, Yesu mwenyewe alitoa ufafanuzi kwamba Yohana mbatizaji ndiye alikuwa eliya. sasa, wewe unasema yule mchungaji ni eliya, na siloam nao wanasema munuo ni eliya. mbona mmepotoka ninyi wahubiri wa uongo?
  12. Yesu Anakuja

    Ushauri juu ya huu ugonjwa na wapi naweza kupata huduma nzuri ya matibabu

    tafuta hospitali yenye MRI upitishwe mle, kuna uwezekano una shida kwenye nerves pengine za uti wa mgongo etc, zinapelekea hilo. hapa Muhimbili patakufaa.
  13. Yesu Anakuja

    Wito kwa Serikali yetu, Huu ni Udhalilishaji wa Bullying & Intimidation. Mbona Rais Samia Hadhalilishi? Tusiruhusu Udhalilishaji Huu Uendelee!

    watu huwa wanashindwa kujieleza kwa sababu nyingi sana. kuna siku yatakukuta na utaelewa hili. inaweza kuwa kuna siri kubwa ya serikali kuhusu ulichoulizwa na kimaadili huwezi kukisema pale kwenye kadamnasi, au kuna jambo la hivyo na ulijaribu kulificha kwa maslahi ya uma, au pengine wee ni...
  14. Yesu Anakuja

    Hii vita kati ya mwanadamu na shetani ni vita ya uonevu(haina usawa na haki)

    wewe huna Mungu, ila una dini. okoka, hata ninavyoandika hapa nashuhudiwa kabisa najibizana na mtu ambaye moyoni ana shetani. tumia nafasi uliyonayo kurudi kwa Mungu kwa usahihi. wengi watasema sikutakiwa kusema hivi ila hata wewe mwenyewe unashuhudiwa moyoni ulivyo, unamhitaji Mungu, shetani...
  15. Yesu Anakuja

    Wito kwa Serikali yetu, Huu ni Udhalilishaji wa Bullying & Intimidation. Mbona Rais Samia Hadhalilishi? Tusiruhusu Udhalilishaji Huu Uendelee!

    mtu yeyote mwenye akili atakubaliana na pascal. alichofanya makonda ni kitu kibaya kabisa na udhalilishaji kwa mtu mzima. angelikuwa hata na adabu ya kulelewa tu asingefanya vile, ila sote tunamjua makonda alivyo, shida ndio hiyo.
Back
Top Bottom