Recent content by changaule

  1. changaule

    Tetesi: Inadaiwa Clement Mzize analipwa 600k, halafu Guede analipwa Milion 29

    Nilitaka nione jinsi gani ulivyokosa upeo wa kufikiria na hilo swali nilijua tu lipo nje na uwezo wako. Unafikiria kwavile tupo kwenye global village basi kila kitu utakijua? Kama mshahara wa Try again na CEO wenu Kajula umeshindwa kuujua je hiyo global village yako imekusaidia nini? Hata...
  2. changaule

    Tetesi: Inadaiwa Clement Mzize analipwa 600k, halafu Guede analipwa Milion 29

    Kwa kutumia hiyo glabal village yako nitajie mshahara wa Try again na CEO Kajula pale Simba ni kiasi gani wanalipwa?
  3. changaule

    Tetesi: Inadaiwa Clement Mzize analipwa 600k, halafu Guede analipwa Milion 29

    Kwa kutumia hiyo glabal village yako nitajie mshahara wa Try again na CEO Kajula pale Simba ni kiasi gani wanalipwa?
  4. changaule

    Tetesi: Inadaiwa Clement Mzize analipwa 600k, halafu Guede analipwa Milion 29

    Sijui ni tokea zamani wapo hivyo au siku hizi za karibuni tu wamekuwa na maarifa madogo kiasi hiki, yaani wameonesha ni wepesi kudanganyika na hawana uwezo wa kufanya reasoning. Mfano kwenye interview ya Mayele wakabeba maelezo na kufurahia kama yalivyo lakini wakashindwa kujiuliza kama Mayele...
  5. changaule

    Tetesi: Inadaiwa Clement Mzize analipwa 600k, halafu Guede analipwa Milion 29

    Mshahara halisi anaujua mwenyewe Mzize na Diara. Kwani wewe hauna uwezo wa kukaa na kutengeneza chart kama hivyo? Au hapo kuna uthibitisho upi unaonesha kuwa Yanga wanalipa hiko kiasi cha pesa kwa wachezaji?
  6. changaule

    Tetesi: Inadaiwa Clement Mzize analipwa 600k, halafu Guede analipwa Milion 29

    Mmeamua kutengeneza propaganda za kuvuruga wachezaji wa Yanga na mashabiki wa Yanga. Hio mishahara haina uhalisia, ingekuwa hivyo Diara asingedumu Yanga misimu yote hiyo huku akilipwa milioni 4 tu.
  7. changaule

    Wydad kutoshiriki Club Bingwa msimu ujao

    Hapo kwenye "Mnagombea nafasi moja na Simba " Je umenijimuisha mimi kwenye upande upi? Halafu mimi sijashangaa Azam kugombea ubingwa bali nimeshangaa aliposema Azam itaenda kuvunja record zote za Simba na Yanga walizovuna klabu bingwa. Ndio nikauliza Azam huyu huyu aliyetolewa jasho na...
  8. changaule

    Wydad kutoshiriki Club Bingwa msimu ujao

    Azam aliyetolewa na timu kutoka Ethiopia hatua ya awali kabisa kombe la confederation cup
  9. changaule

    Wydad kutoshiriki Club Bingwa msimu ujao

    Anaweza pia akaikosa hiyo shirikisho yenyewe. Kwasababu kaishatolewa kwenye FA halafu kwenye ligi kuwa nafasi ya tatu ni ngumu labda wapambane washike nafasi ya nne huku waombe kombe la FA achukue kati ya Far Rabat au Raja Casablanca
  10. changaule

    Msemaji wa Singida FG Hussein Massanza tunasubiria Matokeo ya Taarifa yako kuwa kuna 'Hujuma' ilifanyika kabla hamjacheza na Yanga SC jana

    Hao TAKUKURU wasiishie tu Singida bali waende hadi kwa Simba aliyefungwa 5, Belouizdad aliyefungwa 4, Medeama aliyefungwa 3 hadi kwa Mamelodi waseme wameongwa sh ngapi hadi wameisamehe kuifunga Yanga mvua ya magoli kwa dakika zote 180 wakati mtaani watu wamezimaliza jezi za UBUTHU BOTHO kwa...
  11. changaule

    Za ndaani: Barbara Gonzalez kuchukua nafasi ya Salim 'try again simba

    Kwahiyo wewe unaamini Mo anatoa tu mabilioni ya pesa bila hata kufatilia? Labda huwajui vizuri wahindi. Na kama unajua kuwa Mo ni investor sio director, kuna investor gani atakaa mbali na kile alicho ki invest? Investor lazima afatilie kwa asilimia mia kila kitu kwasababu faida na hasara...
  12. changaule

    Za ndaani: Barbara Gonzalez kuchukua nafasi ya Salim 'try again simba

    Sajili mbovu anayehusika wa kwanza ni head of scouting lakini kabla ya kumnyoshea kidole huyo mtu wa scouting, je tuna uhakika wachezaji anayependekeza yeye boss yupo radhi kutoa fungu? Au analazimika kuangalia wachezaji wasio na profile kubwa kutokana na bajeti? Mchezaji yupi mkubwa aliyekuja...
  13. changaule

    Za ndaani: Barbara Gonzalez kuchukua nafasi ya Salim 'try again simba

    1) Mo hausik na usajili kwenye angle ipi? Ya kutoa pesa au ya kutafuta wachezaji? Kama ni kutafuta wachezaji Mels Daalder si ndiye kapendekezwa kuwa head of scouting? 2) Babra aliikuta Simba tayari ipo kwenye mafanikio na wala sio kwamba ndiye aliyeitengeneza Simba. Babra kateuliwa Simba msimu...
  14. changaule

    Za ndaani: Barbara Gonzalez kuchukua nafasi ya Salim 'try again simba

    Nitakuwa wa mwisho kuamini kama matatizo ya Simba yanatokana na akina Try again. Tatizo la Simba lipo kwa Mo mwenyewe, huyu boss swala la maarifa na busara za kiuongozi hana kabisa. Kiuongozi anashindwa ku deal na changamoto za timu mpaka asikilize mashabiki wanataka nini. Mashabiki tunamtaka...
  15. changaule

    Kuna ukwel gan kwenye hii mishahara ya wachezaji?

    Anayelipwa nyingi nimezungumzia
Back
Top Bottom