Recent content by Changalucha

 1. Changalucha

  Korea kama hauna degree haupewi mke, Ifike mahala kama hauna degree usigombee ubunge

  Nchi sasa imekuwa na wasomi wengi lazima tukubali ,hivyo lazima tubadilishw hata baadhi ya vipengere wakati mbunge Msukuma anaomba mfumo wa elimu ubadilishwe pia na sisi tunaomba kipengere cha sifa ya mtu kugombea ubunge kibadilishwe hiwe lazima hawe degree order. Kwa uandishi huu na kiwango...
 2. Changalucha

  Rais, Majaji na wote wasiokatwa kodi kwenye mishahara yao ni muda muafaka nao waanze kulipa kodi

  Ni kweli kabisa. Katika mataifa mengine uzalendo hupimwa kwa namna mtu anavyochangia katika uchumi kwa njia ya kulipa kodi. Tanzania misamaha imewekwa kwa wale wenye kipato cha mshahara mkubwa, misamaha ya kosi kwenye mishahara, ankara za umeme, simu na maji wanalipiwa Hapa kwetu ukwepaji kodi...
 3. Changalucha

  Basi la Classic kutoka Kampala lililopata ajali Shinyanga lilikuwa limebeba Wazanzibari tu?

  Labda ni wanafamilia waliokuwa wanatoka harusini au msibani.
 4. Changalucha

  BASATA, barua za kiofisi haziandikwi hivi

  Uandishi wa ovyo kabisa. Nashangaa pia matumizi ya alama ya mshangao kwenye kauli mbiu mwishoni mwa barua " Kwa pamoja tutashinda! Sanaa ni kazi!"
 5. Changalucha

  Magufuli: Kila atakayetaka kuiokoa nafsi yake atapoteza...

  Mathayo 16:25 ina maandiko kama hayo. Lakini ukianzia kusoma Mathayo 16:24 neno linasema " Wakati huo Yesu aliwaambia wanafunzi wake, Mtu ye yote akitaka kunifuata, na ajikane mwenyewe, ajitwike msalaba wake, anifuate". Kwa kuwa mtu atakaye kuiokoa nafsi yake, ataipoteza; na mtu atakayeipoteza...
 6. Changalucha

  TANZIA Mbunge wa zamani wa Morogoro Kusini Mashariki, Semindu Pawa afariki dunia

  Hapo ndipo ninapomkumbuka mwanasayansi Darwin na nadharia ya 'survivor of the fittest' : The weak shall perish and only the strongest shall survive.
 7. Changalucha

  Umati wa watu waliosongamana katika mazishi ya Maalim Seif wakiwa hawajavaa barakoa

  "Wanajifunza" kuishi na virusi vya COVID 19.
 8. Changalucha

  Agent au anaeifahamu vizuri western union msaada

  Uwe na TRACKING NUMBER(MTCN) ambayo ni namba iliyopo kwenye receipt ya aliyekutumia hiyo pesa, pia taarifa za majina ya aliyetuma, mji na nchi anayoishi. Kitambulisho cha Taifa kama umepiga picha cha maana huwa ni hiyo namba ya kitambulisho (NIN).
 9. Changalucha

  SHULE INAUZWA

  Hii ni shule au majengo ya iliyokusudiwa kuwa shule?
 10. Changalucha

  TANZIA Head Master wa Bwiru Boys, Elias Kaboja afariki dunia

  Apumzike kwa amani school mate wangu. Kuhusu chanzo cha kifo, nijuavyo mimi Elias alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa kisukari kwa muda mrefu sasa na alikuwa akihudhuria Kliniki hapo Bugando.
 11. Changalucha

  Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

  Prof. Komba kwa sasa yupo Ruaha University College (RUCU) Iringa akiwa VC-Accademics
 12. Changalucha

  Single fathers: Wanaume mje msome

  Umeandika kama unalia. Sijawahi kuona uandishi mbovu kama huu!
Top Bottom