Recent content by Chaliifrancisco

  1. Chaliifrancisco

    Kipi kinasababisha barabara za New York kuwa na hali mbaya?

    Kwasababu sehemu ulizotaja ni zina population kubwa ya manigga ambao ni useless kwa serikali zaidi ya kuwauzia madawa tu ya kulevya serikali haina faida nyingine huko. Blacks hapo New York wako wengi Bronx, Harlem, Brooklyn na Queens.
  2. Chaliifrancisco

    Alichokifanya Israel ni dharau dhidi ya Iran. Kuna haja ya kurudia tena mashambulizi kule Israeli

    Kitendo cha kutumia tu Irone Dome kudungua hayo makombora ni hasara kwa Israel. Pia makombona yaliyotumwa sio yale sophisticated. Pia kumbuka Israel amesaidiwa ku intercept hayo makombora na US, UK, France, Saudia na Jordan. One vs six.
  3. Chaliifrancisco

    Mtoto wangu ana baba wawili

    Upo sawa mkuu.
  4. Chaliifrancisco

    Rais Samia anaongelea matiti, tena ya Wanawake wenzake?

    Kaburi umefukua wewe halafu unauliza?
  5. Chaliifrancisco

    Afya ya akili: Ambaka kuku hadi kufa!

    Huyo atakuwa ametumwa sio bure
  6. Chaliifrancisco

    Iran yaishambulia Israel kwa makombora

    Kwenda huko. Hiyo alliance ya Russian China na Iran ilithibitishwa au ni tetesi na speculations tu? NATO hawajaweza kuthibitisha kuwa Russia ana mkono wa pembeni. Ila hako ka Israel hao allies wake wametokea waziwazi.
  7. Chaliifrancisco

    Iran yaishambulia Israel kwa makombora

    Israel, US, UK na Jordan kwa pamoja kuungana kudungua drones za Iran ni ushahidi tosha kuwa sifa wanazopewa IDF huwa hazina mashiko. Bila hao NATO Israel hatoboi hata kwa Al Shabab. Ni kitendo cha siku chache tu watafutiliwa mbali.
  8. Chaliifrancisco

    Mtumishi unayepokea mshahara 1.5m kwa mwezi unapanga na unamiliki usafiri wa gari, hawezi kutoboa maisha utastaafu unatumikishwa tu

    Ni kweli lakini akichukua loan anaweza. Japo mimi naona kujenga kwa loan ni hasara.
  9. Chaliifrancisco

    Wanyiha, ni watu wagumu sana mapenzini. Acha waoane wao kwa wao

    Ndio maana dish lake limeyumba.
  10. Chaliifrancisco

    Sio siri huyu Mzigua90 ananichanganya sana

    Usiwe hivyo bana
  11. Chaliifrancisco

    Daaah, bodaboda bodaboda...inauma sana

    Mimi sina bana, njoo nikuonyeshe
Back
Top Bottom