Recent content by cezarichwa

  1. cezarichwa

    Masada, simu yangu inagomea font za kudownload

    Naombeni masada Samsung yangu s8 sm g950fd inagoma font nazodowload sijui tatizo nn naombeni masada. Inaniandikia Kama hapo kwenye pic
  2. cezarichwa

    Msaada

    Habarini za saiz naomba msaada anayeweza kucupture au kusreenshot vitu kwenye thl Sent using Jamii Forums mobile app
  3. cezarichwa

    Msaada

    jamani naombeni msada sehemu ya kusoma cd kwenye pc yangu imepotea ghafla tu ata kwenye driver nikiangalia haiko cjui nn tatizo ila mlango unafunguka na kufunga bila matatizo
  4. cezarichwa

    Msaada kwa iphon 6 jinsi ya kudownload audio

    Naombeni mnisaidie jinsi ya kudownload audio kwa kuserch kwenye google na kuweza kizisikiliza offline
  5. cezarichwa

    Apk ya Dream League soccer 2017

    Ayo uliyoyataja ni ya phone mkuu?
  6. cezarichwa

    Msaada wa setting za whatsapp kwenye Tecno cx4

    Kwa iyo hakuna namna zilete notification?
  7. cezarichwa

    Msaada wa setting za whatsapp kwenye Tecno cx4

    Lkn mbona kwenye cmu nyingine inakuwa pw tu
  8. cezarichwa

    Msaada wa setting za whatsapp kwenye Tecno cx4

    Naomba mnisaidie jinsi ya kuseti notification ya watsap kwenye tecno cx ionekane kama zingine maana inaonyesha vidoti tu
  9. cezarichwa

    Smartphones: Njia rahisi kama unataka kulinda mambo yako

    Yangu Galax note 2 inayo iyo mambo?
  10. cezarichwa

    MSAADA KWENYE SUMSUNG GALAX NOTE Z SGH I317

    Naomba mnisaidie simu yangu haipandishi 3g wala h+ naombeni msaada nimeiupdate lakin bado naombeni mnisaidie nifanyaje
  11. cezarichwa

    Android mega thread; Maswali, Tips and Tricks, Kila kitu kuhusu android

    Wakuu naombeni msaada wa ku update sony Xperia l
  12. cezarichwa

    Nani zaidi kati ya Edo Kumwembe vs Shaffi Dauda

    mi naona bongo kwa sasa hatuna wachambuzi nyie mnaonaje
Back
Top Bottom