• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Recent content by Cesar Saint

 1. Cesar Saint

  Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

  Dr.Towo MD huyu jamaa ni genius ,Prof Malele fundi mmoja wa Pharmacognosy pamoja na Prof Nshimo kisha weka mzungu wa roho Dr Kalala hapa namwongeza Dr Kabati (jamaa ana lifestyle flani nilikuwa nalielewa sana) mwisho namweka bibie Prof Temu mama mmoja hivi ana roho ya peke yake . Ngoja niweke...
 2. Cesar Saint

  Africa Is Two to Three Weeks Away From Height of Virus Storm!

  Hapa ndio naanza kuamini kwanini waafrika tulichukuliwa utumwani aisee waafrika ni wagumu na wanahimili/wamezoea kuishi na magonjwa Sent from my iPhone using JamiiForums
 3. Cesar Saint

  Kwanini Azam hajawekeza kwa Boti za kwenda Tanga, Lindi na Mtwara

  Ongezea na Mafia Sent from my iPhone using JamiiForums
 4. Cesar Saint

  Mahakama yaamuru jengo karibu na Ikulu lipunguzwe urefu

  Lile eneo lina utata mkubwa kuanzia pale kwenye eneo ambalo CCM imeweka kiofisi chake mpaka pale lilipojengwa ghorofa lenyewe miaka hiyo nilipokuwa shule ya msingi eneo lile lilikuwa eneo la wazi mpaka huku kwenye JKI Conference center kitu pekee nachokumbuka kilikuwepo ni zile Kota za National...
 5. Cesar Saint

  Ukitaka kwenye dunia hii uone umelogwa endekeza pombe

  Starehe Gharama Sent from my iPhone using JamiiForums
 6. Cesar Saint

  Ubalozi wa Marekani kuwaondoa raia wake Tanzania kwasababu ya Corona na kuwarudisha kwao

  Inawezekana kabisa maambukizi ya Corona yakawa ni zaidi ya yale Serikali inatoa taarifa zake na si kwamba inapanga kufanya hivyo bali hizi ndio cases zilizofika kwenye formal channels. Sababu kubwa ni kuwa watanzania tumezoea kuishi na magonjwa kwani asilimia kubwa ya watanzania hatujui hali...
 7. Cesar Saint

  Mada maalum kwa wachoraji, sanaa ya picha na rangi

  Hivi ni sehemu gani naweza kuprint canvas art kama hii . Sent from my iPhone using JamiiForums
 8. Cesar Saint

  Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

  Hivi na wale wanaoweka vioo dirishani na kuvielekeza nje ndio kuna nadharia gani? Naomba kufahamishwa Sent from my iPhone using JamiiForums
 9. Cesar Saint

  Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

  Kweli wajinga hawawezi kuisha duniani Sent from my iPhone using JamiiForums
 10. Cesar Saint

  Current Situation In Rwanda!

  Kuna wakati baadhi ya watu ambao walikuwa wanted Rwanda walianza kuuwawa kwenye nchi walizokimbilia nakumbuka wa mwisho aliuliwa afrika ya kusini. Nadhani bwana PK anajaribu kufuta ushahidi na kitu chochote kitakachomlink na genocide anaenda mbali na kutaka kuweka mfumo wa utawala utakaolinda...
 11. Cesar Saint

  Ni Benki gani Tanzania imejiingiza kwenye siasa? Akaunti za Mbowe zimefungwa na Benki ipi? Kwa sheria ipi?

  Nilichogundua wanasiasa wengi wa upinzani kuna mambo madogo ya kiutaratibu huwa wanapuuzia na mwisho wa siku wanakimbilia “Public sympathy” . Ni wakati wa kufanya vitu kwa utaratibu na kwa wakati leo hii unaona wadhamini wa Tundu Lissu wanavyohangaika kutaka kujitoa katika kesi yake . Haya...
 12. Cesar Saint

  Jamani nimetapeliwa

  “Swala lolote linalohusisha mteremko lina harufu kubwa ya utapeli “ hii ndio kanuni kubwa ya utapeli Sent from my iPhone using JamiiForums
 13. Cesar Saint

  Nahisi dada wa kazi ana hisia na mume wangu

  Kuna kitu kimoja nimekiona sana kwenye familia zetu za kitanzania na wasichana au wakaka wa kazi (declaration of interest :Nimelelewa na kukulia kwenye nyumba ya wafanyakazi [shamba,mifugo,ndani,magari nk]) . Kikubwa hasa nilichoona na kinachoanzisha matatizo katika eneo hili ni KUISHI NA...
 14. Cesar Saint

  NMB wamekataa kupokea taarifa ya kuzuia miamala baada ya kadi ya benk kuibiwa matokeo yake wahalifu wamefanikiwa kutoa pesa

  Somebody should tell him ! Kijana wako amekupiga fanya kumnunulia simu nyingine tu na hizo hela sahau Sent from my iPhone using JamiiForums
Top