Recent content by carefree

  1. C

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aagiza kaburi la Faru John lifukuliwe

    Huu ni usanii tu faru John kafa Acha cinema iendelee kwa gharama ya kodi zetu
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kweli Max Ndiye Yeye: Kwanini Sina Hofu

    Jf ikifungwa waathirika wa mwanzo polisi kitwa wanashinda humu Bora wamuachie max tu
  3. C

    JamiiForums Tanzania Pembe ya faru John yapelekwa kwa Waziri mkuu

    Gambo alimuingiza pm chaka
  4. C

    JamiiForums Tanzania Masyaga Matinyi: Kibaraka wa Waarabu (OBC) Loliondo

    Ukisoma makala yake UTAJIONEA aibu kama mtanzania
  5. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, Waziri Ndalichako na wengine, acheni kuchezea elimu yetu

    Vice cv yake mbona ni hizo hizo za kuunga mwaka huu kila mtu atakunywa maji
  6. C

    JamiiForums Tanzania Songea: Aliyekuwa mgombea Ubunge Joseph L. Fuime afukuzwa uanachama wa CHADEMA

    Muwe mnaweka akiba ya fitna na majungu Mtu anauza ubunge bei gani? Wakati akiingia bungeni kuna mamilioni yapo yanamsubiri 90 ya gari anaweza kukopa mpk 200 m kwa udhamini was bunge sasa muuza ubunge hulipwa bei ipi?
  7. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Girlfriend wangu ananiendesha kweli,Kichwa kinanivuruga sasa

    Endelea naye jaza mafuta passo mjini kila kit ujasiri
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mke wa Mbunge Lema ashtakiwa kwa kumtumia ujumbe Mkuu wa Mkoa wenye neno 'Shoga'

    Siasa rahisi hizi ni nani wa kuzibadilisha agrihhhhh
  9. C

    JamiiForums Tanzania Viongozi CHADEMA(W) Karatu watafuna mamilioni ya harambee ujenzi wa ofisi

    Aliyekula michango kama wanamjua c wamchukulie hatua hays ni matatizo ya kutumia nguvu badala ya akili
  10. C

    JamiiForums Tanzania ‘’Mpemba’’ amponza DCI, Diwani Athumani

    Wkend vinywaji vya mwendokasi vinakuharibu akili ulichoandika hakieleweki labda kesho utatufafanulia
  11. C

    JamiiForums Tanzania Lema amgomea Mrisho Gambo kwenye uzinduzi wa ujenzi wa Hospitali ya mama na mtoto

    Gambo amuulize Magesa aliingia arusha kwa mbwembwe akaondoka mpole Sasa unawezaje kuzindua mradi bila kutaja waliofanikisha kufikia hatua hiyo?!!!
  12. C

    JamiiForums Tanzania Uhakiki wa vyeti ufike kwa wabunge

    Acha wakaguliwe sifa ni kujua kusoma na kuandika kwa nini wanadanganya na mivyeti yao feki
  13. C

    JamiiForums Tanzania Mbatia: Uhakiki wa vyeti feki uanzie kwa Rais na viongozi wengine

    Kweli likifanyika kwa mtiririko huo kuanzia juu litakuwa na ufanisi sana ila wataumbuka wengi ha ha iuna cv za vigogo ukiziangalia unajua ni famba Hawa watatoka povu kuzuia zoezi kwa wanasiasa
  14. C

    JamiiForums Tanzania NIDA: Madudu Cheti kimoja watumishi zaidi 3, Watumishi watumia majina ya marehemu

    Kizungumkuti kwa wabunge zoezi likihamia huko lazima wakwamishe. Kuna walioishia o level lakini kwenye web ya bunge unaona ana masters
  15. C

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufaa yawarejesha kazini waliofukuzwa kazi BoT miaka 22 iliyopita

    Mara nyingi uchelewaji huu huwa ni mkakati/ goli l mkono huwa kuna makubaliano na hao mawakoli wazembee ili kusaidia upande mwingine ushinde
Back
Top Bottom