Recent content by Spartacus boy

  1. Spartacus boy

    Nani mwenye mchango mkubwa kwenye mafanikio yako, mpe shukrani zake

    Yaani wewe mwenyewe binafsi ama nini.
  2. Spartacus boy

    Mjadala wa Wachangiaji M1 JF Jukwaa la Historia 2013

    Mzee wangu, Kinachokuondolea heshima hapa Jf sio kwamba husemi ukweli au huoneshi mchango wa dini yako katika kupatikana kwa uhuru. Ila shida ni kushupalia "udini" kitu ambacho hakifungamani na mshikamano na ujenzi wa taifa hili.kiasi kwamba inakuja to the maximum unataka uonekane kama ni...
  3. Spartacus boy

    Idadi ya Wanaume duniani ni kubwa zaidi kuliko ya wanawake

    Nimemaliza form four .Darasa letu lilikuwa hivi Me: 90s Ke: 200s Jumla darasani tulikuwa 218. Kadanganye kwingine
  4. Spartacus boy

    Kuongezewa Mshahara

    Kwa mpaka sasa nishapata muongozo kiasi chake. Nilitaka nijue ni technic zipi za kumshawishi HR ukiondoka na cheti cha chuo nitakachomuonesha. DR Mambo Jambo
  5. Spartacus boy

    Kuongezewa Mshahara

    Mkuu cheti nilichokuwa nacho mkononi ni kilikuwa cha form six. Cha chuo sikuwa nacho kwa sababu ya uchumi . Maana chuo nimesoma km 900 toka mkoa naoishi. So ilikuwa ni kitu kigumu kuandika katika cv yangu kuwa nija degree ilhali kiambatanisho cha hiyo degree( cheti sina mkononi) kwa wakati huo.
  6. Spartacus boy

    Kuongezewa Mshahara

    Ilishakwisha mkuu
  7. Spartacus boy

    Kuongezewa Mshahara

    Majukumu yanabaki vile vile
  8. Spartacus boy

    Kuongezewa Mshahara

    Ahsante mkuu
  9. Spartacus boy

    Kuongezewa Mshahara

    Habarini wanajukwaa, Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu kwa elimu ya ngazi ya degree kwa mwaka 2021. Mwaka 2022 nilibahatika kupata kazi katika kampuni moja ya BINAFSI ambapo nilipita kihalali katika nafasi moja ya kazi ilokuwa inahitaji watu sabini na kitu hivi. Katika tangazo lao la kazi...
  10. Spartacus boy

    Ungetamani kusikia collabo ya wasanii gani?

    Chris brown ft Jason Derulo and vice versa
  11. Spartacus boy

    Miongoni mwa vitu Mwenyezi Mungu amenibariki, ni kuwa Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi

    Ni dakika tu unageuka kuwa chawa wa mkeo. Ndio michezo ya hicho chama
  12. Spartacus boy

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Mbona misosi ya kuanzia hujaorodhesha?
  13. Spartacus boy

    Tuoneshe asili/maana ya ID yako kwa video au picha, ya kwangu ni hii

    Hili jina nilipewa shule. Lakini huyo mnayemuona kwenye dp ni nafanana nae kimtindo
Back
Top Bottom