Recent content by Bata batani

  1. Bata batani

    Angalia jinsi Kagame anavyoionesha duniani kuwa nchi yake ina watu wenye akili, elimu na uwezo mkubwa wa kufikiri kushinda waisrael

    UPUMBAVU MTUPU SIJUI KWANINI WAAFRICA MNAPENDA MAMBO YA UKABILA UKABILA NDO WAZUNGU WANATUONA HATUNA AKILI
  2. Bata batani

    DOKEZO Watumishi wa Hospitali ya Mbagala Zakhem hawajali wagonjwa na wana huduma mbovu

    Braza tatizo una mkono wa birika ............ Watumishi wengi wa kibongo mkuu njaa kali Kama huwaungii na wao wanakuacha kama ulivyooo............ Lakini ukiwa mtoaji hata hela ya soda utahudumiwa kama vizuli na mgojwa. buku mbili au tatu .........
  3. Bata batani

    Nimeamua sasa kuachana na ualimu na kwenda kusoma

    Naomba nikushauli mambo mawili 1.kama unasoma kwa lengo la kupata skills ukazitumia katika kujiajiri na kutafuta fursa za kukuongezea kipato basi nenda kasome 2.kama unasoma kwa lengo la kutafuta ajira mpya na kuachana na kazi uliyonayo basi ni vyema ufanye biashara
  4. Bata batani

    Interview ya TRA ni lini?

    Hamna kazi hapooo Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  5. Bata batani

    Natafuta kazi

    Kuna kampuni inaitwa ukamwi ni mawakala wa wafanyakazi viwandani kwa kazi za vibarua Na kuhusu malipo kwa siku ni elfu 11 na ofisi zao zipo dar ofisi zao zipo vingunguti Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  6. Bata batani

    Natafuta kazi yoyote ya kupata angalau 15,000/= Tsh per day

    Unaweza kufanya kazi kama loader maana barharesa pale Buguruni ma loader wanalipwa Elfu 10 kwa siku .
  7. Bata batani

    Ni kwanini watu wanaotuona tuna roho mbaya wakipatwa shida au changamoto hukimbilia kwetu kuliko wale wanawaona wana nzuri

    Hiki kitu huwa najiulizaga sana kuna aina fllani ya watu Hao siku zote wao huwa kuna watu huwa wanawatizama kuwa ni watu wenye roho mbaya Yaani full kuwasema vibaya, full kuwachukia, full kuwaombea mabaya , full kukutendea mabaya Lakini inapotokea aina hii ya watu wanapitia wakati mgumu au...
  8. Bata batani

    Natafuta Kijana aliyesomea mambo ya Management, Dar es salaam

    Sasa wewe yanakuhusu nini Acha kusema vibaya watoto wa watu Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  9. Bata batani

    Unawezaje kudeal na toxic person or people katika eneo lenu la kazi

    Well said Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  10. Bata batani

    Unawezaje kudeal na toxic person or people katika eneo lenu la kazi

    Toxic hawa tunasema ni aina fulani ya watu ambao wanakufanya ukose amani na furaha kazini kwako, Ni watu wako negative na wewe. Ni watu ambao wanaangalia makosa yako, ni watu ambao wanataka udhalilike, ni watu ambao muda wote hoja zao nyingi kuhusu wewe ni kufukuzwa kazi Je, watu kama hawa...
  11. Bata batani

    Maalumu kwa walimu ambao bado hawajaajiriwa

    Ivi ukiwa na miaka kuanzia 40 au 35 kujaaaa juu Tangu umemaliza chuo haujapata kazi Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  12. Bata batani

    Mtu aliyesoma Community development anaweza kuwa afisa TAKUKURU?

    Maisha ni connections sehemu yoyote ile kama kuna mtu anakufahamu basi kila kitu kitaenda sawa Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  13. Bata batani

    Ajira mpya za TRA

    Dogo piga msuli nafasi yenyewe moja alafu mnaigombania watu karibuni 5000
Back
Top Bottom