Recent content by bweke

  1. bweke

    Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Dunia hata haichanganyi ila wewe ndo unajichanganya. Mtu kashazalishwa huko wewe bado unamuendekeza kuwasiliana naye wa Nini? This time akuue kabisa ukome.... Shwain
  2. bweke

    Wasafi Media Mtegoni. Diamond, Kusaga wavurugana

    Uje basi utupe mambo ya DSTV
  3. bweke

    Nakuwa na maamuzi ya kusitasita kuolewa tena tangu ndoa ya kwanza inishinde 2021

    Pole sana kwa uliyoyapitia, wanaume hawafanani kikubwa kuangalia ustawi wa watoto wako kakita hiyo ndoa yako mpya. Na je ndugu wa huyo mume wako mtarajiwa wanajua kama unawatoto? Maana chokochoko huanzia hapo.
  4. bweke

    Caption this philosophical way of making

    Na ndio zao la hao watoto waliotumbukia shimoni, wamekua vishetani kuanzia utoto wao.
  5. bweke

    Ni sababu ipi muhimu sisi wazazi tunakuwa na mtoto zaidi ya mmoja?

    Swala la kuwa na watoto wengi au wachache ni maamuzi ya mtu binafsi. Ukizaa wengi uwe na uwezo wa kuwahudumia. Kwa mimi binafsi tangu napata akili sikuwahi kutamani kuwa na watoto wengi.
  6. bweke

    Wanawake acheni kuposti mitandaoni mnapokasirika, wife aliwahi kujuta

    Ungekua unamkazia mama J ivyo,kama ulivyomkazia mkeo ungekua umejiepusha na chuma ulete siku nyingi.
  7. bweke

    Kama umeangalia video ya Hamas wakimuua Joshua na bado una-support Hamas basi hufai

    Inasikitisha sana na kuogofya pia,mvulana wa watu kala Saba za kichwa.Afu lugha Sasa wao wanaongea kiarabu yy anajitetea sijui kiswahili .....Apumzike kwa amani
  8. bweke

    Lulu na Ali Kiba katika penzi la milele!

    Kuna muda mahusiano yanakua hayaeleweki. Sasa majizo bahiri hadi kwa mkewe pesa zake anazipeleka wapi!?
  9. bweke

    Romy Jones ndani ya bifu zito na Lamata!

    Rj itakua hii ni kazi ya pili kufanya na Lamatah,Kapuni ndo ilikua tamtiliya yake ya kwanza.
  10. bweke

    Baba mtoto kaninunia

    Alishanove on,mtoto yuko na mamaake ukaribu mpaka kupostiana wakati Mimi na yeye ni pika pakua?
  11. bweke

    Baba mtoto kaninunia

    Amenuna hata hanisemeshi
  12. bweke

    Baba mtoto kaninunia

    Amen
  13. bweke

    Baba mtoto kaninunia

    Ajue mipaka yake ameshakua na familia nyingine tayari
  14. bweke

    Baba mtoto kaninunia

    Kivipi?
  15. bweke

    Baba mtoto kaninunia

    Faida hakuna ni kuchoshana tu akili.
Back
Top Bottom