Recent content by Bushbaby


 1. Bushbaby

  Mwongozo tafadhali kilimo cha mahindi

  Mkuu mashamba Handeni kwa sasa yanapatikana kwa sh.ngap kwa heka moja? Sent using Jamii Forums mobile app
 2. Bushbaby

  Meru poultry farm; Tunauza kuku

  Kwenye biashara Watanzania wengi tunafeli kwa sababu za kijinga kabisa....unaulizwa ofisi iko wapi unajibu "Arusha" just like that!!!....Arusha sio mtaa ni mji, sema ofisi ziko wapi...karibu na nini toa mawasiliano....
 3. Bushbaby

  Wa mwisho ndio mshindi

  Punyeto ndio chanzo kikubwa cha upungufu wa nguvu za kiume
 4. Bushbaby

  USHAURI: Ng'ombe wangu anajinyonya maziwa

  Hili ndio jibu sahihi...Ng'ombe wako ana upungufu wa madini....na hapa nahisi ni Calcium nenda duka la mifugo watakupa jiwe la ng'ombe kulamba, hata kuku akikosa Calcium huwa anakula "mayai" but hapa shida yake ni ile Calcium iliyopo kwenye ganda la yai
 5. Bushbaby

  The Bold: Ujasusi Sebuleni Kwetu

  mkuu Habibu B. Anga naomba uniweke kwenye Tag list pls!!
 6. Bushbaby

  Shemeji mawenge

  Kuna Swali umeulizwa na mdau hapo juu, unajua kilichomuua kaka yako?? hicho mnachokifanya kitawamaliza wote!!
 7. Bushbaby

  Nauza tangawizi: Natafuta wateja

  Hebu check na huyu hapa chini.... Natafuta tangawizi
 8. Bushbaby

  Engine ya Subaru Forester TA-SG5 inahitajika

  uko wap? Arusha mitaa ya December lzm utapata, ulizia kwa Mushi
 9. Bushbaby

  Ushauri: Nimekuwa mtu wa kulilia shida na matatizo na watu mpaka nakosa raha

  Usiombe katika jamii / Familia ukawa umefanikiwa peke yako.....ndugu yangu, omba tu Mungu awainue/awafanikishe pia hao ndugu zako, pia punguza "show off" inaonyesha "una shout sana" jitahidi uishi maisha ya kawaida kama hao wanaokuzunguka, au kama hujajenga hama eneo hilo ukaishi kwingine....
 10. Bushbaby

  MSAADA TAFADHALI

  Asante sana, amesahau kwamba ukiwa mwongo unatakiwa kuwa na kumbukumbu......
 11. Bushbaby

  Afumaniwa na mke wa rafikiye

  Hiki ulicholeta hapa ni zaidi ya umbea.....
 12. Bushbaby

  Je, hiki hakitoshi kuwa Kipimo bora cha ' Unyani ' na ' Upuuzi ' halisi wa Mwafrika?

  Mkuu, upumbavu wa hao watu 6 ndio unakufanya ututukane Waafika wote??
 13. Bushbaby

  Zawadi ya laptop kwa atakayefanikisha

  Tuma email kwa jmutagurwa@yahoo.com anahitaji maafisa masoko Shinyanga
 14. Bushbaby

  Kucha inaniathiri mwaka wa tatu

  Hiyo inaitwa Ingrown nail mara nyingi hutokea kwenye kidole gumba cha mguu (ingrown toenail) kutokana na ukataji kucha usio sahihi......nenda Hospital inafanyika procedure hapo under anesthesia mambo yanaenda poa kabisa
 15. Bushbaby

  Tatizo la ng'ombe kutoa maziwa yaliyochanganyika na damu

  1. Kabla hujaanza kukamua huwa unamwosha chuchu na maji ya uvuguvuga na kupaka chuchu mafuta ya kukamulia? 2. Anayekamua ni mzoefu au anavuta chuchu za Ng'ombe kama anavuta manati? 3. Mwone Daktari wa mifugo huenda ana Infection kwenye chuchu zitibiwe mapema
Top