Recent content by bryan2

  1. bryan2

    Evolution Of Khalid Aucho kutoka Gor mahia mpaka Yanga.

    THIS MAN KAHALID AUCHO!! Today, I choose to remember and celebrate Khalid Aucho. There have been midfielders in the KPL and then there was one Khalid Aucho alias "Anti Da Lost One" He was more than a midfielder. One of the players who gave their all to Gor Mahia – a player who took Gor as ‘his...
  2. bryan2

    Kazumari aliyekuwa wa kwanza kusema Dickson Job ni beki mfupi kaja na propaganda za nidhamu

    Huyu jamaa anayejiita Kazumari ni nani katika mpira wetu? Mbona naona Tff wanamhusudu sana. Upande wangu namwona ni kati ya watu wanaoharibu mpira wa nchi hii mosi jamaa ameshindwa kuficha chuki zake dhidi ya Timu ya Yanga, Uongozi wake kaenda mbali mpaka kwa wachezaji wa Yanga. Nafikiri kuna...
  3. bryan2

    Kauli mbiu iwe " wote mpaka fainali inawezekana"

    Ndio timu zetu mbili Yanga na Simba zinakibarua kigumu kwani zimepangwa na vigogo wa Soka la Afrika MasandawanaMamelod na Al Ahly mtawalia. Ndio wakati wa Afrika na Dunia kuitambua Tanzania, ndio wakati wa mawakala kuja Tanzania na kusaka vipaji, ni wakati wa kuweka rekodi za Kidunia. Kwenye...
  4. bryan2

    Simba kashinda Jana hakuna Kelele kwa GSm anadhamini timu 16

    Baada ya ushindi wa goli 3 Jana wa Simba dhidi ya wachovu Singida fountain gate zile kelele kwamba Gsm anasponsor timu zote za ligi kuu zimekwisha/zimepungua. Kama watoto wa Tff Jana wangefungwa au kutoa droo pasingekalika humu na kwenye baadhi ya vipindi vya michezo wachambuzi feki wangepata...
  5. bryan2

    Tusizuge na tuache Unafiki ukweli ni kwamba tuliomba hadi hata Kuroga tupangiwe na Asec ila Jini limeshindwa safari hii

    Nlitaka kushangaa hujapost Pumba zako mpaka sasa. Hakika zile tano bado hamjakaa vizuri kila kukicha ni Yanga Yanga sasa magodoro yametoka wapi I wishi viongozi wako wa Kiroho wafahamu unavyopenda ushirikina kila habari yako Mara majini Mara sijui Bibi kafanya nini punguza Mori masta halafu...
  6. bryan2

    Wadau wa Soka naombeni tofauti

    Hope humu kuna wajuzi wa hizi mambo naombeni tofauti ya hizi kampuni mbili za kubeti moja akiwa sponsor wa Simba na mwingine Kmc.
  7. bryan2

    Kila timu inayofunguka dhidi ya Yanga ni goli 3 na kuendelea

    Hii Yanga kila MTU anafunga utajua wewe ukabe nani sasa.
  8. bryan2

    Kila timu inayofunguka dhidi ya Yanga ni goli 3 na kuendelea

    Hahahaaa Onyango alitaka kumletea shida Okrah bana baada ya kipima umri kukubali
  9. bryan2

    Kila timu inayofunguka dhidi ya Yanga ni goli 3 na kuendelea

    Walianza KMC, wakaja JKT, wakaja Simba baba lao leo limewakuta Ihefu achana na wale waarabu wa Algeria. Hizo timu zote tajwa walizikosea Yanga heshima wakataka kupishana na Yanga kilichowakuta imebaki historia. Ziko timu nyingi zimecheza kwa Nidhamu kubwa sana na Yanga rejea Namungo mchezo wa...
  10. bryan2

    Kinachowauma Simba ni Timu nyingi kutohongeka kwa sasa

    Simba ni kama sikio la kufa tu hata uliwekee Boric Acid ear drops hamna kitu.Simba wamebaki kumpigia promo GSm na kuacha kumpigia Promo boss aliyenunua timu yao mo. Kwanini Simba wanalia sana na ishu za Udhamini Jibu ni jepesi tu baada ya ligi yetu kukua na wenye pesa zao kuamua kumwaga mpunga...
  11. bryan2

    Ndugu zangu upande wa baba wanainua vita kali juu yangu

    Kama ni Mkristo nenda kanisani Kaombe misa hata isomwe siku tatu mfululizo wote watatawanyika maana huna baya na MTU, sijui kwa imani nyingine wanafanyaje.
  12. bryan2

    Almanusura Prison wawalipie Jwaneng Galaxy deni lao

    Ft. Tz Prison 2 Simba 1(mwenyeji) Ni kama Prison walisikia kilio cha Kocha wa Galaxy Morena Ramoreboli dhidi ya michezo michafu waliyofanyiwa na Simba anzia ulonzi mpaka uwizi wa vifaa vyao. Baada ya dakika 90 pale Morogoro hatimaye Prison wameifunga timu bora ya Caf wakiwa na mchezaji wao...
  13. bryan2

    Wasiwasi wazuka Yanga kuhusu Joseph Guédé Gnado na Miguel Gamondi

    Ukisikia pumba ndizo hizi sasa Waulize wale Waalgeria goli la NNE alifunga nani halafu waulize Simba walikuta tano kutoka kwa kocha gani.
  14. bryan2

    Kumbuka Yanga haikuomba huruma za TFF kuhairishwa michezo yake

    Baada ya kuwahi na kuzoea hali hewa mkashinda ngapi ndg mtaalamu
  15. bryan2

    Kumbuka Yanga haikuomba huruma za TFF kuhairishwa michezo yake

    Hii iko kwa Simba tu ya Tanzania Timu zote zilizocheza leo zimecheza michezo yao ya ligi makwao hiyo hali hewa ya Ivory coast ipoje ni Arctic circle nini, Al Ahly kafika Kumasi kwa one day before game, Wydad kafika Botswana one day before game, same same to Mamelodi nyie lia lia fc tu.
Back
Top Bottom