Recent content by BrownEye

  1. BrownEye

    Walimu Iringa University waiba mitihani

    Utamaduni huwa nao unabadieika kidogo siku zinapoenda hasa mabadiliko mengine ya taasisi yoyote. katika hili naona mwaka huu hakuna msalie mtume. watu wataondoka .
  2. BrownEye

    Kama huyu ndo wakuoa!! Nishaurini jamani maana niko njia panda kwa kweli...

    Mimi sina shida na Ulokole wala kuokoka, shida yangu kubwa hapa ni attitude ya huyo bint baada ya kuokoka, kinachotegemewa mtu akiokoka ni kwamba anakuwa anamjua Mungu vizuri pia anapata hekima (kwa neema ya Kristo) ya namna ya kuweka mambo sawa ikiwa pamoja na maamuzi na kuwaelimisha...
  3. BrownEye

    Msaada somo la marketing please

    Tafadhari ninaomba nijulishwe kama hilo swali limetoka katika course ipi hasa ya marketing na ni katika tawi lipi hasa maana kuna matawi mengi yakitofautiana katika mitazamo ya kujibu maswali yake, mfano (MBA- matawi kama strategic marketing, marketing management, mktg reaseach, international...
  4. BrownEye

    Kuzimia

    Sitanii wala sifanyi mzaha. Nina uhakika hata wewe unajua kuwa kwa Mungu hakuna tatizo dogo wala kubwa. Yeye ni daktari/ mganga mkuu na yupo karibu sana nasi. Upendo wake wa kutufia ndio dawa yake njema. nakushauri tu hebu mwambie Mungu unataka nini. Nina uhakika utapona kabisa
  5. BrownEye

    Fanuel Sedekia ni marehemu!

    R.I.P Sedekia, Let us pray for his wife, Her condition needs prayes
  6. BrownEye

    How to Make a Woman Happy . . . . .

    Only a lady's eye can determine if you qualify.
  7. BrownEye

    What is wrong here

    Ukiona mume wako hana chembe ya kajiwiivu na wewe (ujue kuna mahari kashapata anapumzika huko) na hivyo hata ukimuaga unaondoka nyumbani hatakuuliza muda unaorudi wala unakokwenda. pia ukichelewa kurudi atakuwa kimya. Akifanya hivyo kwa zaidi ya mara mbili ujue hana shida sana na wewe, na wala...
  8. BrownEye

    What is wrong here

    It has been tested and worked out for several people, Lakini mwanamke inabidi uwe mjanja sana maana vinginevyo mzee anaweza akakugeuzia kibao ukaonekana unabanjua pembeni pia.
  9. BrownEye

    Haya hii ni Kwa Wadada-TV coming between my husband and me

    Ama kweli sarakasi. Binafsi najisikia kichefuchefu, watu wazima wanapoona wanaingia msikitini halafu wanangoja hadi waambiwe na shehe kuvua viatu, ukifikiri vizuri utajua tu jamaa hata udhu atakuwa nao kweli?? Bunduki na ndoa ni kama ukiweka bangi na serikali pamoja. ukizungumzia kuweka chini...
  10. BrownEye

    MAISHA: Uzuri wa mke ni tabia. Je, uzuri wa mume ni nini?

    Kwa zama hizi nina hofu sana na BEDROOM FACTOR NA FINANCIAL FACTOR, Unless mtu ushaanza kuishi naye then unaweza ukajaji uwezo wake wa kitndani (bed) kwenye zama hizi za ukimwi ni shida kidogo kwenda ukijaribujaribu hata kama ndomu haitoki kwa wallet au pochi. Financial factor, sijajua...
  11. BrownEye

    Haya hii ni Kwa Wadada-TV coming between my husband and me

    Hivi mambo ya TV, sofa, laptop, makabati ya nguo, vitabu, magazeti viatu dressing table chumbani vinatafuta nini? chumbali kinachotakiwa kuwepo ni pajama zilizoko mwilini, bed, bedsheets, domu, few soft towels pieces basi. hata barua haitakiwi chumbani. Hitu vyote hivyo vingine viishia dressing...
  12. BrownEye

    Haya mataulo bafuni ni ya nini?

    Bonge la darasa. Asante sana mkuu
  13. BrownEye

    Haya mataulo bafuni ni ya nini?

    Bahati mbaya waiter anavyoleta bill wewe unakuwa umeenda rest room kutoa nyama iliyoganda kwa meno ukirudi utafanyaje .
  14. BrownEye

    MAISHA: Uzuri wa mke ni tabia. Je, uzuri wa mume ni nini?

    Kwa kifupi, Mwanamume mzuri ni yule MWENYE AKILI, Yaani yule awezaye kuishi na mkewe kwa akili. Mtamjua kwa matendo yake na katika mafanikio ya ndoa na familia yake
  15. BrownEye

    Am a lucky man

    It is either me or you...... or none may be right! You can read it over and over. However I would love to know the very low attitude I have, may be you can help me, Asante kwa kunipa pole.
Back
Top Bottom