Recent content by Brother P

  1. B

    Natafuta Miche ya minazi mifupi ya kisasa

    Jaribu kucheki hii link MICHE BORA YA MATUNDA (@miche_ya_matunda590) • Instagram photos and videos
  2. B

    Laini za M-Pesa zinauzwa

    Laini za mpesa zinauzwa Kwa maelezo zaidi piga 0789056052 au 0719367301
  3. B

    Msaada wa mawazo

    Ahsanteni wakuu
  4. B

    Msaada

    Akhsante sana bwana faizafox.lakini ninatumaini umeelewa ninachomaanisha.akhsante kwa jibu lako zuri
  5. B

    Msaada

    Habari jamani.ninapenda kufahamu kuhusu gharama za kuanzisha,na kundesha mradi wa kutengeneza matofali ya mchanga.pia gharama za mashine zinazoweza kutumika na mahali ambapo zinauzwa.kwa yeyote anaxefahamu naomba anijulishe.
  6. B

    Naomba ushauri

    Mimi ni mkazi wa morogoro.nina viwanja viwili ,vyote vina ukubwa wa ekari moja kila kimoja.kimoja kipo karibu na mjini na kingine mbali kutoka mjini.sina pesa ya kujenga nyumba kwenye viwanja hivi na sitaki kuviuza.je ni shughuli gani nifanye kwenye viwanja hivi ili ziongeze pato langu kiuchumi?
  7. B

    Maskini modem yangu

    Habari jf members.nilichomeka modem yangu ya vodafone kwenye usb port ya kompyuta ya mezani,ghafla ikawa ya moto sana,tangia hapo kila nikichomeka kwenye kompyuta yoyote massage hii hutokea 'one of usb device connected to this computer has mulfunctioned'..taa ya blue huwaka kwenye modem ..je...
  8. B

    Msaada wa mawazo

    Habari wana jf.ninaomba mnisaidie mawzao.nina shilingi milioni moja,je nifanye biashara gani kwa mtaji huu mdogo nilionao.mimi ni mkazi wa morogoro mjini maeneo ya mazimbu.
  9. B

    Msaada wa kiufundi

    Nilitumia adapter tofauti kwenye kompyuta yangu tangu hapo imekataa kuwaka,je ni kifaa kipi kitakuwa kimeharibika?kwa yeyote anayefahamu mafundi wa kompyuta wa kuaminika wanaopatikana dar naomba anipatie namba za simu.
Back
Top Bottom