Bridger | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN
Bridger
Joined:
Apr 2, 2010
Messages:
813
Likes Received:
55
Trophy Points:
45
Liked:
422

Share This Page

Facebook Twitter

Bridger

Content Manager

Staff Member
  1. h
   hps300
   Hallo Mod naomba uiondoe hiyo thread niliyopost kama inawezekana,
   Asante
  2. Tainya
   Tainya
   mi-naomba kuelekezwa jinsi ya kupost mada.....pleasee..
   1. Bridger
    Bridger
    Ni rahisi sana mkuu!

    Nenda kwenye jukwaa husika, kisha chagua post new topic (desktop), au kama unatumia simu utaona alama ya kalamu, ibonyeze - kisha utaanzisha mada yako kwenye vyumba vitakavyofunguka.

    Asante.
    Apr 4, 2016
   2. Bridger
    Apr 4, 2016
    Tainya likes this.
  3. Shoctopus
   Shoctopus
   Nauliza mbona sioni au tuseme nashindwa kufungua 'alerts' ambazo nadhani no majibu ya wenzangu baada ya kusoma posts zangu.
  4. nzalendo
   nzalendo
   Kuna uzi wangu wa kuomba msaada kuhusu wimbo ninaoutafuta siuoni mmeuhamishia wapi,msaada tafaadhal
  5. Deeboyfrexh
   Deeboyfrexh
   mkuu nina critical issue naweza pata contacts zako tuwasiliane
   1. Bridger
    Bridger
    Karibu,

    Nitumie PM..
    Jan 3, 2016
  6. Titans
   Titans
   hello mods,kuna post ameanzisha crashwise kuhusu arumeru na amepost pics..sasa i replied the 1st ila sasa inaonekana kama vile mi ndo nimeanzisha ile thread and it is not fair..please check and rectify.
  7. Jethro
   Jethro
   thanks i got it
  8. Mamndenyi
   Mamndenyi
   Happy Valentine,

   Za kazi mkuu,

   Nimeona ni muhimu nikutafute huku pembeni ili
   nikupa heri ya sisi tunaopendana. "Happy Valentine RIDER"
  9. Eeka Mangi
   Eeka Mangi
   Thanks Rider for the post edit. Kidogo kihoro kinipate man! Nilifikiri nshaharibu pahali
   Weekend njema
   EK
  10. G
   Geka
   Salaam mkuu, nimekuandikia kwa sababu, nimekuwa nikituma mail kwa kutumia 'contact us' lakini sijajibiwa chochote hata kule kuambiwa tu kuwa mail zangu zimepokelewa.

   Kifupi, niliandika kuhusu kufungiwa kwa memba mmoja kimakosa na mod aliyemfungia hakujaribu hata kusikia upande wa pili unasema nini.

   nina imani utajibu mail hii

   Maandalizi mema ya kuukaribisha mwaka MPYA 2012
 • Signature

  Let's Live forever in love!
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...