Recent content by Official Amo

  1. Official Amo

    Wapinzani wana nia ya kuwagawa wananchi suala la Muungano

    Comrade Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
  2. Official Amo

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    kila siku wanarudia re-advertisements za zaman ndio wanazijaza hapo ..yan wanakera sana hawa jamaa Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
  3. Official Amo

    Mungu alimuandaa Rais Samia kuwa Rais ndiyo maana amewahi kusema hadharani kuwa yeye hana mpango wa kwenda kugombea Urais wa Zanzibar 2020

    Sawa umeeleweka mr. Lucas Mwashambwa Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
  4. Official Amo

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ni kweli maana database imejaa huko Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
  5. Official Amo

    CCM iweke hadharani ukaguzi wa hesabu katika ziara za Makonda nchi nzima, ubadhirifu usifumbiwe macho!

    Tujikite kwanza kwenye ripoti ya CAG kwanza Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
  6. Official Amo

    Mambo ambayo mwanaume wa thamani hatakiwi kuyafanya kamwe

    Tatizo vijana wengi wa siku hizi mna mashaka na uanaume wenu. mwanaume ni mwanaume tu haina haja ya kuwekewa vigezo.
  7. Official Amo

    Unakataa ndoa wakati ulipatikana kwa tendo la ndoa!

    Uhuru wa kukataa kitu au kukubali kitu hauusiani na kuzaliwa kupitia tendo la ndoa .. ndoa ni hiari hata vitabu vya dini vimeeleza
  8. Official Amo

    Jitahidi usifike miaka 30 bila kuoa au kuolewa

    sasa huamini vp wakati wewe ni mwanaume, hiyo kawaida sana
  9. Official Amo

    Kama lengo lako ni kuzaa ili watoto waje kukulipa fadhila kwa malezi yako basi nakushauri hairisha kwa sababu wewe ni mjasiriamali na sio mzazi

    Wazazi wanakuwa na expectations kubwa sana kwa watoto mwisho wa siku wanakuja kuwa disappointed. Mwisho wa siku wazazi wanawabebesha laana watoto.
Back
Top Bottom