Recent content by BongoTz

  1. BongoTz

    Big Kudos WanaJF, KatibMpya.Org, na Wazalendo wengine!!!

    Prof. Chris Maina Peter, the Head of School of Law, University of Dar es Salaam, explaining why we need a new constitution:
  2. BongoTz

    Big Kudos WanaJF, KatibMpya.Org, na Wazalendo wengine!!!

    Mnyika, We are totally behind you on this one:
  3. BongoTz

    Big Kudos WanaJF, KatibMpya.Org, na Wazalendo wengine!!!

    P.S. Kama kuna tatizo la ku-download attached PDF/Petition, naomba tuwasiliane.
  4. BongoTz

    Big Kudos WanaJF, KatibMpya.Org, na Wazalendo wengine!!!

    Okay, I think we are making some progress here... We have forced government's hand, and now Prime Minister Mizengo Pinda has decided to come out and reiterate the need for a new constitution: "I believe there is no difficulty in this [matter]. As Prime Minister, I am ready to take the...
  5. BongoTz

    Maendeleo mapya: Mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Uzalendo

    WanaJF, I think we're making some progress here... [Read this Editorial piece from "The Guardian on Sunday". It pretty much covered all items that we have already outlined in our petition (much thanks to the Editor!!): P.S. Please continue to sign/promote our online petition:TUNAHIHITAJI...
  6. BongoTz

    Maendeleo mapya: Mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Uzalendo

    Okay, kwa wale ambao walikuwa wameniomba ni generate 'Hardy Copy' ya petition, tayari nimefanya hivyo. So if you wish to hep us collect more signatures from the people who don't have access to a computer at home, we kindly ask you to download the attached file/PDF to your computer (print...
  7. BongoTz

    Sidanganyiki - Leo ndio mnajua Tanzania inahitaji katiba mpya?

    Mzee Mwanakijiji, Mkapa na Jaji Mkuu will continue to be just fine whether katiba ya zamani inaendelea kutumika au katiba mpya itapatikana. Tutakaoendelea kuumia endapo kama katiba ya zamani itaendelea kutumika ni sisi hapa, wananchi wa kawaida. So swali kwamba, "kwanini wanataka katiba mpya,"...
  8. BongoTz

    Maendeleo mapya: Mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Uzalendo

    “Nadhani ni woga ambao hauna msingi wowote, [CCM/Serikali] wanahofia kile ambacho watu watapendekeza katika katiba mpya, lakini mimi naamini watu wakikaa chini na kutulia, hawawezi kuja na vitu vya ajabu" ~ Jaji Bomani (Dec, 2010)
  9. BongoTz

    Maendeleo mapya: Mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Uzalendo

    Heshima yako, mkuu! Petition ya katiba inapatikana hapa: TUNAHIHITAJI KATIBA MPYA Petition
  10. BongoTz

    Sera ya Chadema ya huduma bure kwa afya kwa wazee yakumbatiwa sasa!

    First of all, I think serikali hapa inataka kukurupuka kufanya jambo ambalo haina uwezo wa kuli-implement vizuri. And I don't think huyu Ms Blandina Nyoni knows what she is talking about? I mean, waulize nchi zilizoendelea kama vile Uingereza na Marekani watakueleza ilivyo ghari kutoa huduma za...
  11. BongoTz

    Maendeleo mapya: Mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Uzalendo

    Mkuu, it's so true kwamba "Time will tell." Lakini Louis-Hector Berlioz pia anatuonya kwamba, "Time is a great teacher, but unfortunately it kills all its pupils." Tangu mwaka 1992, miaka mingi imepita sasa. We don't have much time on our side kwakweli. Ndo' maana inabidi tufanye kila...
  12. BongoTz

    Stieglers Gorge Hydroelectric Project

    Okay. Calm down. Take a deep breath, and then sign a 'stieglers gorge' petition here: TATIZO LA UMEME: TUPATIENI 'STIEGLERS GORGE' Petition. Hasira, kelele, lawama, matusi won't help a thing! Let's push this Kikwete guy to act. Let's send a strong message to 'em Mafisadi guys, too--kwamba...
  13. BongoTz

    [Petition]: Tatizo la Umeme (Dr. Wilbroad Slaa amesaini)

    Mams, usiwe na shaka. Hii petition haiwezi ikachakachuliwa (kuna "super commandos" wanaoilinda). Plus, petition a katiba inapaikana hapa (ingia usaini kama ulikuwa bado hujaanya hivyo): TUNAHIHITAJI KATIBA MPYA Petition
  14. BongoTz

    Maendeleo mapya: Mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Uzalendo

    Good point, YeshuaHaMelech! I think kale kamsemo ka zamani "nchi yetu haina dini," ni mahala pazuri pakuanzia. Ila natambua kuna baadhi watataka suala la Kadhi mkuu litambuliwe Kikatiba (na hapo ndipo manung'uniko/mpasuko wa kidini utakapoanza). But, anyway, hiyo ndo' gharama ya demokrasia...
  15. BongoTz

    [Petition]: Tatizo la Umeme (Dr. Wilbroad Slaa amesaini)

    TAMKO LA MBUNGE WA KIGOMA KUSINI KUHUSU MGOGORO WA NISHATI YA UMEME NA KUSUDIO LA KUWASILISHA HOJA BINAFSI BUNGENI JUMAPILI, DISEMBA05, 2010 Dar es Salaam. UTANGULIZI Karibuni wanahabari. Leo nimeamua kuwaomba kama wanahabari na watanzania wazalendo tujadili hatma ya Taifa...
Back
Top Bottom