Hello wanajamvi.
Ukweli tumefanya mistake nyingi ktk maisha, hasa ktk mahusiano. Tukifanya machaguzi mabaya, kukosea kwa mitazamo n.k Je, Tuishi kwa majuto na huzuni baada ya kuharibu mifumo na kujikuta tupo wapweke?
Nahitaji mtu wa kupeana naye furaha, muite Sex partners ,bed mate vyovyote...
Biomedical Engineering ni field inayohusu kuunganisha Engineering skills kutatua mambo ya kiafya.
Ni field pana kidogo ina deal na vitu vingi, but bongo naona wana base ktk ishu equipments ,but humo ktk biomedical kuna tissue engineering , biomechanics etc.
Kozi hii hutolewa ktk vyuo...
honestly nilitaka jua kama watu wana interest n naweza meet a mentor humu ambaye ni Pro kunidhid.
Nna Electronics kichwani, nina telecommunication kichwani etc
nilianza piga C language,nikaanza furahia urahis wa Python, so nalitaka kwenda pro zaidi.
By the way uki integrate AI, na embedded...
Nna vitabu vingi sanaaaa na Course za Videos ambazo haziko YouTube kuna rafiki ktk kushare cost nnazo full yaani imeelezwa in n out
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
ni vitu vidogo sanaa, hivo mkuu ukiwa unajua math unapiga hizo codes vyema kabisa na nimeshapiga ndefu sana humo
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.