Recent content by BLISS

  1. BLISS

    Bila kushikwa mkono sahau kupata kazi sehemu hizi!!!!

    Jamani mi naomba niulizie. NHIF walishaita kwenye interview? Msaada kwa anayefahamu wakuu
  2. BLISS

    Msaada: kuitwa bungeni kwa nafasi ya secretary

    Angalau aangalie penye maslahi,
  3. BLISS

    Ahsante Sekretareti ya Ajira

    Hongera sana, mi pia ni mhanga wa Ajira naomba kuuliza ivi NHIF na open University of walishaita watu kwenye interview?
  4. BLISS

    msaada madakitari jamani nisaidieni mwenzenu,

    naombeni mnipe ushauri kuhusu kukosa choo kwa mtoto mdogo aliye na wiki 2, na hanywi maziwa ya kopo, ananyonya maziwa ya mama yake tu, tatizo ni nini? anapata choo mara moja tu kwa siku, na siku nyingine hapati, kitu ambacho si kawaida kwa mtoto mdogo, msaada madakitari wote,
  5. BLISS

    nakaribia kupata baby, msaada plz..

    MZIMKU, Kwakweli degree ya kuchanika sijui ni kiasi gani but najua tu walinishona ndani na nje, swali lako la pili, mtoto alipotoka ndio alipasua njia na sio mkunga kuichana, sijui kama nimeeleweka..
  6. BLISS

    nakaribia kupata baby, msaada plz..

    jamani nashukuru wote kwa ushauri mzuri yaani nimefarijika sana sana, mmenipa imani ya kusimamia ili nipambane na huyu ibilisi wa uoga, maana ananionea sana, nitafanya maombi sana na mungu atanisaidia kujifungua salama, pia nahitaji maombi yenu nyote.. P,DIDY , asante umenifanya nijenge imani...
  7. BLISS

    nakaribia kupata baby, msaada plz..

    Naombeni ushauri jamani, mimi niko wiki ya 37 ya ujauzito sasa , nilikuwa nawaza je kuna uwezekano wa kujifungua salama iwapo mtoto wa kwanza nilipomzaa alisumbua sana na kupasua njia kipindi na push, sasa yale maumivu ya nyuzi nilizopata nisingependa yanirudie. Swali langu ni kwamba, Je...
  8. BLISS

    Headache au maumivu ya kichwa

    pole terry, nakushauri ukapime macho, yaweza kuwa ni ugonjwa wa macho nao husababisha kichwa kuuma, pia ujaribu kipima na wingi wa damu..
  9. BLISS

    Naomba tu leo na kesho njo kwa mwakasege biafra ujifunze maombi ya kujua hatima ya maisha yako

    ubarikiwe, mimi napenda sana mahubiri ya mwakasege lakini niko mbali so nawish kama ningekuwepo ningekuja mtumishi wa mungu huwa anamahubiri mazuri kweli, mnaoweza mtume hata kwenye you tube tusikilize, mungu akubariki wewe utakayetuma..
  10. BLISS

    Njia nzuri ya kutahiri watoto wachanga

    sikushauri hiyo ya ringi, ni wengi wanalalamika sio nzuri inaweza kumuacha na maumbile mabaya, tumia ya kawaida..
  11. BLISS

    Nisaidieni tumbo kujaa gesi ni nini?

    niko na wiki ya 28 ya ujauzito but tumbo linajaa gesi nisaidieni nifanye nini wataalamu, asanteni
  12. BLISS

    Doctor bingwa wa mambo ya uzazi

    pole kwa matatizo uliyonayo, mungu ni mwema ipo siku utafanikiwa kuhusu ushauri wa kutafuta hao wakaka sio mzuri, ni kama waganga wa kienyeji ni bora upate docta mzuri na kumkabidhi mungu kwakuwa hashindwi na jambo lolote, mara nyingi watoto wanaotokana na waganga sio wazuri wanamasharti...
  13. BLISS

    Mama! Baba kanya.

    jamani nilikuwa sijacheka toka niamke, lol! hii kali nimecheka mpaka na mwenzangu wa tumboni karuka lol! hii kali...
  14. BLISS

    nisaidieni jamani kutafuna kwangu ni ndoto,eeh mungu nisaidie

    jamani naombeni mnijulishe dawa ya meno naumwa na meno yote kinywani yaani hayataki kutafuna kitu najaribu kupiga mswaki but sipati nafuu sielewi ni nini tatizo, maana yako 2 yaliotoboka lakini nashangaa yanauma yote sielewi ni ugonjwa gani, wataalamu naomba mnishauri dawa itakayoweza...
Back
Top Bottom