Recent content by Dr Luu

  1. Dr Luu

    Msaada wakuu mtu amehack simu yangu

    Utamu wakuchepuka noma :), badili simu.
  2. Dr Luu

    Kama chasis za pikipiki za kichina zingeboreshwa wangeuza sana

    china wanapikipiki za aina nyingi tu dealers ndio upendekeza hizo kwakua ndio pendwa. Ukipenda wawea nunua za india au japan
  3. Dr Luu

    Msaada: Gari gani linakula mafuta kidogo?

    Hebu wasiliana na Masoud Kipanya, ataweka sawa hili
  4. Dr Luu

    Kuna madhara gani kulala kifudifudi

    kweli kabisa ziada ukilala kwa ubavu wakulia piani sawa.
  5. Dr Luu

    Weka hapa Tiba asilia ulizowahi kutumia na zikakusaidia, mimi zangu hizi hapa

    naomba kuona picha ya hayo majani ya aluvini ili kuitambua vyema.
  6. Dr Luu

    Hizi ndizo sababu za Mzungu kuondoka Simba

    walio mleta Dejan na Akpan wana dhambi wakatubuu
  7. Dr Luu

    Zawadi ya Bajaj ni halali kwa Ibrahim Class?

    shida ni mo au bajaj? Maana kuana watu wakisikia mo tu midomo inawawasha. Bajaj mpya ina thamani kuanzia mil8 au zaidi. Ni mtaji tayari anauhakika wa elfu 20+ kwa siku kama hesabu akimpa kijana
  8. Dr Luu

    Wataalumu hii inasababishwa na nini eti

    NAKITU NIWEKE WAZI HAPA INAONEKANA MAUMBILE YAKO NI MAREFU YANAPELEKEA KUGUSA MLANGO WA UZAZI (cervix). BADILI STYLE MAANA MAPENZI SIO VITA NDUGU NI STAREHE. Kama unapenda kufanya hivyo tafuta mpenzi mwenye maumbile yanayo kumudu ila kwa huyo mpenz wako unamuumiza. Kuhusu UTI sio kweli maana...
  9. Dr Luu

    Tatizo la ngozi

    JITAHIDI KUVA KUFULI MARA MOJA USIRUDIE MPAKA UIFUE, JITAHIDI KUJIKAUSHA MARA BAADA YAKUTOKA KUOGA AU KUSTANCHI. TUMIA CREAM MAALUM YA KUONDOA FANGASI. USAFI NA KUWA MKAVU SEHEMU NYETI NI MUHIMU
  10. Dr Luu

    TATIZO LA KUTOKWA USAA KWENYE KITOBO JUU YA SIKIO

    ilinitokea nikiwa na umri wa 10+ then nikawa nina pakamua nakupasafisha vizuri mara kwa mara mpaka kikaisha; baada ya muda kikakauka ila kishimo kidogo kikabaki kama kovu.
  11. Dr Luu

    Msaada wa dawa za warts

    wakazi wa moshi, Arusha wanaifahamu sana
  12. Dr Luu

    Dawa ya kidonda sugu

    naichukua kama assignment
  13. Dr Luu

    Kukojoa mara kwa mara baada ya kupata kinywaji

    kuhusu pombe ni kawaida kwenda haja ndogo pindi unapokunywa pombe kwakuwa mwili unatambua pombe kama sumu hivyo mwili unajitahidi kutumia kiasi cha maji mwilini kutoa kiasicha pombe kama mkojo au jasho wakati mwingine kwa kutapika pindi inapolazimika. Unapokunywa pombe hasa kali ambozo ni dry...
Back
Top Bottom