Recent content by bioto yona raphael

 1. bioto yona raphael

  Simulizi: Tamaa ilinipeleka Kisiwa Cha Najini

  Inaendelea...sasa mnafanya nn usiku wote huu"? niliuliza nikimgeukia. " tunaenda kuzimu kupanga mipango ya siri" Alisema. " siri ipi" Nilimuuliza " hapana kalale wewe ni binadamu mengine kujua haitawezekana" Alisema . " isiwezekane kivipi na wakati tunafanya kila kitu pamoja vipi tena tunaanza...
 2. bioto yona raphael

  Simulizi: Tamaa ilinipeleka Kisiwa Cha Najini

  Inaendelea...aisee ayo ndio maisha ya mabwenyenye" aliongea kijana mmoja aliyekuwa na wenzake wakitutizama. " mambo zenu wakina kaka" alisalimia yule mwanamke jini niliyekuwa naye. " nzuri tu sister " waliitikia wale vijana. Uku wakimtolea macho kwa jinsi alivyo kuwa akivutia kwa uzuri wake. "...
 3. bioto yona raphael

  Simulizi: Tamaa ilinipeleka Kisiwa Cha Najini

  Nilibaki na waangalia tu wale malaika waasi lakini Mara nikaona mlango mkubwa sana ukifunguliwa na wale mashetani walipisha kama walimpa nafasi yule anaye ingia aweze kupita, na Mimi nikaona niwafuatishe tu wale mashetani kupisha njia na Mara mtu ambaye sikumtegemea kabisa alitokea kwani kwa...
 4. bioto yona raphael

  Simulizi: Tamaa ilinipeleka Kisiwa Cha Najini

  Basi ngoja ni sisitize sisi huku hatupki chochote na hivi ndivyo tunavyo kula nautazoea tu na kuwa kama wenzio wachawi " Mmi siwez kuwa mchawi ni dhamb bwana" nilijisemea tu " hahahaha sawa bwana tutaona" walicheka kwa pamoja Mzee mustapha na yule kiumbe na kunieleza kuwa nitaona, nilibaki...
 5. bioto yona raphael

  Simulizi: Tamaa ilinipeleka Kisiwa Cha Najini

  ..Tulipo toka nje nilishangaa kuona maji ya bahari ni mekundu sana tena mekundu kama damu na ardhi ya kule ni kama majivu kwa muonekano na hakuna jua ila kuna mwanga. "Nifuate utakuwa mgeni wangu" alisema yule Mzee kwani hata siku jua bila yule Mzee Mimi ningeenda wapi kule kwani ni kisiwa cha...
 6. bioto yona raphael

  Simulizi: Tamaa ilinipeleka Kisiwa Cha Najini

  SEHEMU YA SITA Inaendelea.. Hofu kubwa ilinijaa nilipata kumbukumbu mbaya sana ya ajari zilizotokea basi hofu ilinitawala sasa nikajua mwisho wa maisha yangu umefika, lakini katika jambo lisilo la kawaida na nilishangaa sana ni pale abiria wenzangu pamoja na yule Mzee walibaki wametulia tu...
 7. bioto yona raphael

  Simulizi: Tamaa ilinipeleka Kisiwa Cha Najini

  SEHEMU YA TANO Inaendelea.. Unataka uwaone? Aliniuliza. " ndio..ndio!" Nilijibu haraka. Alifungua kibegi chake alichokuwa amekivaa akatoa chupa ndogo yenye mafuta akanambia nipakae machoni na nifumbe macho na nifumbue Mara tatu, nilipofanya hivyo ghafla niliona hali ya tofauti mlendani yaani...
 8. bioto yona raphael

  Simulizi: Tamaa ilinipeleka Kisiwa Cha Najini

  SEHEMU YA NNE Inaendelea.. Nilimtizama yule Mzee lakini moyo uligoma kukubali kukaa na majini nikampita yule Mzee nikaenda sasa kukaa nyuma sasa ambako niliona hakuna watu na nilipo fika nikakaa. "Wewe vipi huoni, unajikalia tu! Ilikuwa ni sauti iliyosikika kutoka kwenye ile siti, nilishtuka...
 9. bioto yona raphael

  Simulizi: Tamaa ilinipeleka Kisiwa Cha Najini

  SEHEMU YA TATU Inaendelea.. Aliniuliza kwa upole uku amenishika bega langu la kulia "Ndio kaka humu ndani kuna majini walepalee" nilimwonesha kwa kuwanyoshea kidole yule mama na mtoto wake lakini hajabu ni kuwa hata yule mama aliponiona nikimnyooshea kidole hakujali aliendelea tu na mambo yake...
 10. bioto yona raphael

  Simulizi: Tamaa ilinipeleka Kisiwa Cha Najini

  MKASA; TAMAA ILINIPELEKA KISIWA CHA MAJINI SEHEMU YA PILI Inaendelea.. Nilipo zidi kutupa macho mlendani ndipo hofu sasa ikaanza kuniingia maana kila niliye muona mlendani hakuwa mtu mwenye mwonekano kama wangu na maanisha hakukuwa na mtu mweusi lakini hakuna mtu aliyekuwa na habari na Mimi kila...
 11. bioto yona raphael

  Simulizi: Tamaa ilinipeleka Kisiwa Cha Najini

  SIMULIZI; TAMAA ILINIPELEKA KISIWA CHA MAJINI SEHEMU YA KWANZA Jina langu naitwa Jackson Abell ni mzaliwa wa tanga shughuli zangu ni biashara kawaida huwa na chukua mzigo Zanzibar kwa bei nafuu na kuja kuuza Tanzania bara biashara hii nimefanya kwa muda mrefu kwani ni biashara inayonifanya...
 12. bioto yona raphael

  RIWAYA: Joto La Mshumaa

  SEHEMU YA THELATHINI 30 (MWISHO) THE END OF JOTO LA MSHUMAA. KARIBU "MAISHA HAYA ZAIDI YA KURUTA" ENDELEA............. HADITHI ZA Author Mudhihili KWA SASA ZITAKUWA ZINAPATIKANA SEHEMU MBILI TU KWENYE PAGE YAKE INAYOITWA Riwaya za Mudhihili NA KWENYE GRUPU LAKE LINALOITWA Maisha & Hadithi FANYA...
 13. bioto yona raphael

  RIWAYA: Joto La Mshumaa

  SEHEMU YA ISHIRINI NA TISA 29 Endelea.................. ...Ndani ya kijiji cha SHISHIMO mambo hayakuwa mazuri sana wakati huohuo watu wamechanganyiki wa ndani ya kijiji cha BWAWANI. Watu walionekana kuwa na hasira sana kwa kuhisi jambo ambalo kila mmoja hakutaka kulisikia bila kumuadhibu kabisa...
 14. bioto yona raphael

  RIWAYA: Joto La Mshumaa

  SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE 28 Namba ya watsapp imetolewa kwa lengo ya wale ambao wanataka kulipia hadithi hii watumiwe wao wakiwa watsap akiona huku ni ngumu pia na kama una maswali binafsi na si vinginevyo pia kumbuka kuwa watsapp sina grupu Endelea......... ...Waliungana watu wote yani mzee...
 15. bioto yona raphael

  RIWAYA: Joto La Mshumaa

  SEHEMU YA ISHIRINI NA SABA 27 Endelea................ Mzee Mwalami, alitoka kwenye kile kikao ili apate kwenda nyumbani kwake ambako aliwaacha wale watu. Pia Naomi nae akiwa kwenye harakati hizo hizo. aliondoka kutoka kwake yani kwa mama yake na kwenda moja kwa moja kwa mzee Mwalami ambako...
Top