Recent content by bichwamaji

  1. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

    hii maneno ni balaa, unamnyima uhondo bure. Zama fasta, akipata wa kuzama anakumwaga fasta
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wale tunaotembea na waume za watu

    not enough, waume za watu is a game. Tatizo ni usipende ki ukweli, mie naye mmoja wa mtu tulishibana kweli. Tatizo aliponiacha baada ya mkewe kutubamba nilikoma ila ashanunua housi, kazi ya kuniweka mjini na mwanae anamlipia ada shule standard. Na nikiwa na ishu namfuata kiulaini. Jizuie...
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo 6 yasiyoweza kusameheka kirahisi katika ndoa/mahusiano

    @Mzee Madoshi. I feel you. Hata mie nashangaa sana "mtoto wa nje" kuwa namba wani, wakati mie naona ni faida tu wakiletwa na mie nikawalea. Au weye ni bagheshi ndo kuwa hawajali haya mambo.
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo 6 yasiyoweza kusameheka kirahisi katika ndoa/mahusiano

    Mtoto wa nje kwa nini halisameheki wakati tunajua wenza wetu wanacheat? Sifurahii ila sioni kama halisameheki. Je mwenza akikuletea UKIMWI inakuaje whan you are sure na uaminifu wako? Kweli nifafanulieni mie hapa ni bichwamaji kwenye hili. Mi naona faida tu, napata wa kunisaidia na kazi ndani...
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo 6 yasiyoweza kusameheka kirahisi katika ndoa/mahusiano

    6. Violence, kama anawapiga wa mtaani mie hayanihusu kabisa, ila kwetu akina tata mwanamke kupigwa na mpenzi ni part ya mapenzi jamani.
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo 6 yasiyoweza kusameheka kirahisi katika ndoa/mahusiano

    1. Ulevi/matumizi ya madawa ya kulevya,ni kero na uwezekano wa kuwa responsible unapungua. Ni tatizo sana kwangu, labda sababu situmii kilevi cha aina yeyote, hasameheki kabisa. 2. Account za siri(mipango isiomshirikisha mwenza), Kamwe halisameheki sababu atakuwa anaplan kujenga palestina...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

    Asanteni sana kwa ushauri wenu, naskia mzigo umepungua mabegani mwangu kwa kiasi fulani. Thanks a lot!
  8. B

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

    Asante, will try. Nilihitaji watu wa kuniondolea fear hii ili niweze hata kumweleza dokta. Maana ni aibu jamani. Uwe na gari, nyumba, hela kuna wakati unatamani kuwa hata mwanamke anayepika kambi ya fisi lakini uwe a complete woman.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

    Ningekuwa napiga na bia cjui ingekuwaje, sinywi pombe kabisaaa.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

    Asanteni, nakuwa na wasi wasi sana ninaposafiri kikazi hasa nje ya nchi, naset alarm after every 2hrs na nalala na taulo mapajani kupunguza adha, japo inasaidia lakini till when?! Kuna wakati nilimuuliza mtu mmoja japo sikumweleza kama ni mimi akasema inasababishwa na kuwa abused ukiwa mtoto, I...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

    Habarini za jioni, kwa mara ya kwanza najitokeza hapa kuomba ushauri. Nina miaka 31, nina mtoto mmoja na sijaolewa. Kitu kinachoninyima raha ni kukojoa kitandani, cna mtu wa kumwambia maana ni aibu kubwa sana. Japo nina kazi ya kuniwezesha kuishi mjini, sometimes naona sina thamani yoyote...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Namuomba Malaria Sugu asome hii kabla ya kupost thread

    Mmmmh! Dunia ina mambo
Back
Top Bottom