Recent content by Bi Tarabushi

 1. B

  Watu Zaidi ya 5000 wapiga picha wakiwa uchi

  Watu hawa walikusanyika mbele ya Sidney Opera House na kati ya hao kuna mjamzito aliyekuwa anatarajia kujifungua muda wowote..
 2. B

  Watu Zaidi ya 5000 wapiga picha wakiwa uchi

  Zaidi ya watu 5000 wamekusanyika na kupigwa picha wakiwa uchi in the name of art and diversity. Kweli dunia iko ukingoni..
 3. B

  Watanzania tunanyanyasika malawi!

  Zaidi ya watu 5000 wamekusanyika na kupigwa picha wakiwa uchi in the name of art and diversity. Kweli dunia iko ukingoni..
 4. B

  JamiiForums - How To

  I want to post a new post I cant find the new thread button
 5. B

  Anakataa kuzaa, eti mpaka baada ya kumaliza Masters!

  Yoyo anatuyeyusha tu hapa, hakuna cha jamaa anayetaka kuoa, ni yeye mwenyewe, hata signature yake imesuggest "Goal for 2010 Marriage" sasa anaona 2010 hiyooooo na bibie bado hajamalizia masomo yake. Wajaribu kuelewana japo waoane na wazae baada ya binti kumaliza undergrad.
 6. B

  Wanyakyusa sio Mwa, Mwa.. tu!

  Atufigwege Mwasandende du!!!!!!!!
 7. B

  Bongo Star Search 2009: Burudani kweli!?

  Mimi pia niliangalia kipindi hicho jumapili. Kusema za ukweli hata mimi nilisikitishwa sana na comment za majaji hasa hasa huyo P funk. Na kwa bahati mbaya sana safari hii hata Madame Rita ambaye huwa anajitahidi kuwa polite kidogo safari hii amebadilika kabisa, anawaponda vijana moja kwa moja...
 8. B

  Mwitikio wa serikali na wananchi kusaidia wahanga wa milipuko ya Mbagala

  Rostam Abdulrasul Aziz P.O. Box 11, Igunga, Mob. +255 754 555555 I hope that helps, all the best..
 9. B

  April '09 Bomb Blasts in Dar (Mbagala) and responses

  Inasemekana magari yenye ving'ora yanapishana motuari ya mwananyamala hospitali, Hii inaonesha hospitali zote za serikali zilizo jirani zimejaa, Lo dhiki kubwa hii..
 10. B

  Jedwali la RA: Nani hayumo?

  Inasemekana hata maamuzi mengi kwenye ubalozi wa Iran nchini Tanzania yanafanywa kwa kumconsult RA.
 11. B

  Jedwali la RA: Nani hayumo?

  Hapo sasa hatapona mtu, hadi kanisa la kkkt (usharika wa magomeni kinondonia) ndani..
 12. B

  Jedwali la RA: Nani hayumo?

  Ngeleja- Vodacom b
 13. B

  Yussuf Makamba amwinda Reginald Mengi, yeye awataja mafisadi Papa rasmi!

  list ya mafisadi papa km ilivotajwa na be. Mengi; rostam aziz, subsh patel, jeetu patel, tanil somaiya na yusuf manji..
 14. B

  Kiwanda cha sukari cha Mtibwa ni mali ya Benjamin William Mkapa?

  Jumamosi wiki iliyopita nilikuwa bored kukaa nyumbani nikaona nitembee kwenye countryside, nikaishia kwenye shamba la miwa la Dizungu ambalo sina wasiwasi wowote kwamba ni shamba la Rais wa awamu ya nne aliyestahafu Benjamin William Mkapa.Shamba hili baada ya kuuliza wenyeji wangu, waliniambia...
 15. B

  A.R. MIGIRO: at last kafunika nywele

  Huyu mama kwa kweli analipa, mwili wake na umri wake tofauti kabisa, ukiambiwa anaaproach 60 huwezi amini, BIG UP mama!!!!
Top Bottom