Recent content by Benzoate

  1. Benzoate

    World Military Geniuses Of All Time

    Prophet Muhammad Nasikia nayeye aliluwa anapigana vita,vipi nayeye hapo hawezi kuwa genius hata kuweka sheria na mikakati ya kivita?
  2. Benzoate

    Ukiwa na hizi sifa, wanawake wote warembo utawapata

    Hakuna hata uhalisia hapo, Sifa ya muhimu ni mashine hata kama haisagi vizuri!
  3. Benzoate

    Application muhimu kwa smartphone yako

    Vidmate inataka kuplay video na app zao tu lakjn videoder ni player yeyote unaplay
  4. Benzoate

    SoC01 Tatizo la nguvu za kiume na ukweli wake

    Sasa Hii Kegel Ikoje?
  5. Benzoate

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    JF wekeni na video na audio [emoji338]
  6. Benzoate

    Oppo simu Bhana!

    Dah,mzee hiyo mbona TECNO pia ipo
  7. Benzoate

    Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza namna ya kutengeneza Android Apps

    Aisee Nilianza kwanza kuwoma java language Nikafuata Android Studio Nikaanza kudesign app tu za kujifunza kuprogram lakini nikastop sasa naona ngoja nianze tena nimeona kuna watu wanajua pia tunaweza saidiana labda.
  8. Benzoate

    Waziri Ndalichako better late than never; Mikopo ya elimu ya juu hailipiki sababu ya Value Retention fee ya 6%

    kwani uaipolipa utanyongwa mzee? madeni hayaishi hadi kifo [emoji57]
  9. Benzoate

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    hivi huyu jamaa ni raia wa wap
  10. Benzoate

    Sanamu ya msanii DIAMOND na ZUCHU pale Posta Kama wasanii Namba moja wakiume na wakike hapa Tanzania

    we ni pisi kali, unaimba nyimbo za zuchu kuliko za fid q.
  11. Benzoate

    Wasomi tulionyimwa ajira tukutane hapa tujadili nini la kufanya

    Tutumie skills tofauti na zile za madarasani
  12. Benzoate

    QUANTUM IMMOTALITY: Nadharia ya kukwepa kifo. Je, ni kweli Rais wa urusi PUTIN anaishi milele?

    Hii ya kufanana mimi mwenyewe nakubaliana nayo sababu toka nimezaliwa nimeshafuata na watu zaidi ya watatu wakinifananisha na watu waliopo sehemu ambazo sijawahi hata kufika.
Back
Top Bottom