Hakuna tume hapo tatizo chama kina dhamana ya kuwa kama serikali na dola pia sasa huu ni upuuziiiii shinikizo la ccm kwa zec ni swala tata kwamba uchaguzi uliandaliwa na zec na kuratibiwa na ccm what da hell is dis
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.