Recent content by Marashaaa95

  1. Marashaaa95

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Idimi Nauliza ili SEBENE wanalocheza wakina ZIMWI na MZEE KING MAJUTO nani ni MSANII na nyimbo inaitwaje?? https://youtu.be/vnmKkyqQ2AE?si=6kRLLw_pSMY9VLA_
  2. Marashaaa95

    Natafuta audio/soundtrack ya kwenye movie ya my darling

    👉Mapenzi ya kweli hayafi kamwe😁
  3. Marashaaa95

    Natafuta audio/soundtrack ya kwenye movie ya my darling

    WAKUU Nilikua natafuta SOUNDTRACK ya movie ya MY DARLING ya Mussa Banzi ndani ya ile movie kaimba yule KIPOFU aliitwa TAFU Eeebwana eeeh lile Beat sijui alinyonga P FUNK MAJANI Maana ni balaa nikikumbuka. Beat kali,Ujumbe mkali na muimbaji aliimba kwa hisia sana . YouTube hii movie haipo ,nahisi...
  4. Marashaaa95

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Sina Ndugu ,hata YouTube nahisi waliitoa ilikuwepo kipindi cha miaka ya 2017 huko saizi nikiingia siioni
  5. Marashaaa95

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    KIOO Nilikua natafuta SOUNDTRACK ya movie ya MY DARLING ya Mussa Banzi ndani ya movie kaimba yule KIPOFU aliitwa TAFU Eeebwana eeeh lile Beat sijui alinyonga P FUNK MAJANI Maana ni balaa nikikumbuka. Natanguliza Shukrani
  6. Marashaaa95

    Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Ally Mpemba alikua anaichakata hiyo Mbususu ya Maya ki masikhara sana., UMUGHAKA kapewa na Tuzo ya Heshima kabisa na Farha(Maya)😜
  7. Marashaaa95

    Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Tunasubiri sehemu ya 20 mzee Dingi😃😃
  8. Marashaaa95

    Mke aliomba talaka tugawane Mali, nilichomfanyia hajawahi kurudia tena

    Imeandikwa wanawake tuishi nao kwa akili sana 😁
  9. Marashaaa95

    Huyu mdada nimueleweje?

    Punguza Uboya[emoji18][emoji18]
  10. Marashaaa95

    Phone4Sale Samsung J7 PRO: 280k only

    Ni mpya? [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1241]
  11. Marashaaa95

    Dar: Washukiwa wa biashara ya dawa za kulevya watiwa mbaroni

    Hao ni VIDAGAA wenye Mchanga Hawana Madhara kwenye System Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Marashaaa95

    Dar: Washukiwa wa biashara ya dawa za kulevya watiwa mbaroni

    Tofautisha hawa ma Professor Amoni Mbele Joseph Mbele Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Marashaaa95

    Dar: Washukiwa wa biashara ya dawa za kulevya watiwa mbaroni

    Hivi huyo Professor Amoni Mbele ni ndugu na Professor Joseph Mbele? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom