Recent content by Baraja

 1. Baraja

  Leo kidogo nikamatike na Wife kwa uongo wa kizembe kabisa

  Sijui kwa nin Akili Yangu inazidi kupingana na huu ujinga anaotuaminisha huyu jamaa.
 2. Baraja

  Fahamu: Nchi Zinazoitwa kwa Majina Tofauti na Yanayofahamika kwenye Ramani ya Dunia

  Hotep Mkush Hapo kwa Egypt sio Misr, ni Kemet Kwa niaba ya Kisendi Nyanda Ntalima Mpandagoya Hotep
 3. Baraja

  Upweke huu ni hatari…

  Waliomo wanataka kutoka, wasiokuwemo wanataka kuingia
 4. Baraja

  Spika Ndugai: January Makamba kahakikishe petrol haipandi bei ovyo na mikataba ya ovyo ovyo kwenye nishati hatuitaki!

  Hiyo mikataba mpaka ikawe implemented inapitia hatua gani na gani ndio inaanza kufanya kazi!? Sijui Akili yangu iko sawa!?
 5. Baraja

  Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

  Umpoteze kwa sababu wewe ndiwe mwenye Mamlaka Pekee sio!? Hongera sana.
 6. Baraja

  Mamlaka husika fanyieni utafiti haya malori aina ya FUSO

  Hivi unafahamu kwamba hata flat bed huwa ni Ton 7 ila inabeba mpaka Ton 42 Elfu!?
 7. Baraja

  Najuta kuwa na huyu mwanaume katika maisha yangu. Ameharibu ndoto zangu, najiona si binadamu tena

  Si ndio wewe uliyekuwa unasimulia kule kwa rikiboy ulivyokuwa unamtega ticha wenu darasani hadi akukula!? Leo unakuja kujitilisha huruma huku kwa wananzengo wasioujua ushenzi wako?
 8. Baraja

  IGP Sirro huyu Trafiki wako mwenye Mbwembwe Kawe, Lugalo na Mbezi Beach anapokea Rushwa bila Aibu huku akijiamini kabisa

  Kama unamzungumzia Ashraf, huyo mwana mkaushie tu kabisa au pengine wewe utakuwa mgeni wa hii njia. Kwa kazi anayoifanya na namna anavyoishi na madereva wa hii njia usiongee usichokijua. Mchizi mpaka afikie hatua akuandikie cheti basi umezingua pakubwa mno vinginevyo anakuelekeza tu namna...
 9. Baraja

  Wengi walio-oa pisi kali, wanaishi maisha ya mateso sana, tuwaombee

  Tatizo mnaowaoa hao mnaowaita ni pisi kali, hamuwapendi, mnakuwa mnawaogopa. Akishakuwa mwanamke, ni mwanamke tu. Mpende nae atakuheshimu na unapaswa uwe Mwanaume usiwe na tabia za kipumbavu.
 10. Baraja

  Wadada: Kuweni makini na teknolojia

  Umeomba movies ukapewa umeona file la picha unafungua, Hopeless kabisa. Kwa nini usifanye ulichokihitaji!? Tabia chafu sana hii hujui tu. Enewei huwa nasema hivi, ukitaka kukifahamu kichaa cha Mwanamke Muwashie Muziki au Muweke kwenye Kioo uone shughuli yake
 11. Baraja

  Udhaifu gani wa mwenza wako umeamua kukubaliana nao na kuendelea na mahusiano?

  Mwambie awe anatafuna majani ya Mpera ma 3 au ma 4 kila siku kwa dk 15 au tafuta Kidaka cha ndizi, kikatekate umchemshie awe anakunywa yale maji utakuja kuwashuhudia humu wananzengo.
 12. Baraja

  #COVID19 Kuna siku Watanzania watapanga foleni za kilomita kadhaa ili kuchanja

  Ndio maana mapema kabisa nikakuambia kuwa wewe tayari una majibu yako na unataka kila atakayechangia apite kwenye majibu au mawazo uliyonayo.
 13. Baraja

  #COVID19 Kuna siku Watanzania watapanga foleni za kilomita kadhaa ili kuchanja

  Hizo side effects ndizo alizokuwa anazihoji Gwajiboy akaishiwa kupopolewa mawe, watu bado wanaona ni jambo dogo ila muda utasema tu. Mdudu ni kweli yupo na anaua ila hii chanjo inaua pia. Dizonga nako nasikia wameanza kukiamsha barabarani kupinga chanjo.
 14. Baraja

  #COVID19 Kuna siku Watanzania watapanga foleni za kilomita kadhaa ili kuchanja

  Tumekuwa na Tatizo Kuu la kutaka Kusikia Unachokitaka au Kuona na Kifanywe Unachokitaka Mhusika na sio Uhalisia. Wewe ukitaka kukubali kubali, usipotaka acha. Juzi nipo ofisini, kuna jirani yangu hakuwa amefungua ofisi yake, nikampigia kumuuliza kama atakuja akaniambia hana uhakika sababu...
Top Bottom