Recent content by Balvejmumt

  1. Balvejmumt

    Hichi ni nini na kina maana gani wakuu

    Hili ni eneo la hospital Mkuu... Na asubuhi hii ndio nimeliona hili
  2. Balvejmumt

    Baaada yakupata mtoto mke wangu havutiwi tena na kufanya mapenzi

    Mapenzi mara nyingi huwa yanahamia kwa mtoto, kwahiyo cheza kwa step maana unaweza kujikuta unapoteza kote... Unapoteza nyapu na unapoteza mke
  3. Balvejmumt

    Kwa waliochanja Chanjo ya CORONA Njoni mtoe uzoefu Ili tupime ufanisi.

    Mimi ilikua kila wakati kamasi zinanitoka... Mpaka sasa nina miaka 2 sijawahi shika kitambaa hadharani kupambania kamasi
  4. Balvejmumt

    NHIF yakusudia kusitisha Mkataba wa Huduma kwa Hospitali za APHTA Ikiwemo Aghakani na TMJ

    Kaka, tafuta bia bariidi unywe... [emoji736] Huu ndio uhalisia, soon mbinyo utawarudia
  5. Balvejmumt

    Askofu Gamanywa: Hamas ni cha mtoto, Waarabu wote wataungana kutaka kuifuta Israel lakini Watashindwa kwa mujibu wa maandiko!

    Kila siku nasema hizi dini hizi, nani kati yetu anaamini Israel inayozungumziwa ndio hiyo ambayo tunaiona sisi kwa macho yetu ya nyama
  6. Balvejmumt

    Ronaldo de Lima abatizwa na kuwa Mkristo!

    Asante sana Mkuu... Nimejifunza jambo hapa maana ilikua inanipa ukakasi.. kumbe kuna jamii ina refer zaidi ubatizo wa Yesu kule mtoni na wanasahau kuwa mitume walipo pewa uweza waliendelea kubatiza hata nje ya hiyo mito Thanks Brother [emoji120]
  7. Balvejmumt

    Miji inayoongoza kwa vumbi Tanzania. Shati jeupe usiende nalo

    SONGEA itoe hapo.... Mbona mimi nimeishi miaka 6 na nilikua navaa nguo nyeupe... Udongo wa SONGEA unatoka kwenye nguo
  8. Balvejmumt

    Shikamoo Mapenzi

    Nimecheka sana [emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91]
  9. Balvejmumt

    Jinsi nilivyokutana na malaika, sitaki kumpoteza, nyie mlivukaje stage hii?

    Uko njema haswaa kwenye uandishi... Tafuta mbinu andika vitabu pia
  10. Balvejmumt

    Hili litakuwa tatizo gani?

    Kama ni spleen ndio inachangamoto?🤣🤣🤣 Nyie vijana bhana
  11. Balvejmumt

    Taifa limegawanywa (utenzi)

    First to reply
  12. Balvejmumt

    Hili litakuwa tatizo gani?

    Chembe ya moyo chini ya titi kushoto?🥲
Back
Top Bottom