Recent content by Balozi Chriss

 1. B

  Baba Mzazi wa Mhe. Tundu Antipas Lissu Mughwai afariki dunia jioni ya leo

  Mungu ailaze mahala pema peponi roho ya Baba. Hakika umetuachia watanzania kijana hodari na mwanasheria hodari
 2. B

  Namtafuta huyu mrembo wajameni

  FB profile picture hiyo
 3. B

  Chantal Biya: The hottest first lady in Africa

  Huyu mama ni mtoto wa Dennis Ssosungweso na siwezi ona ajabu kwa jinsi alivyo MLIMBWENDE kwa kuwa ni MLINGALA(pure bantu)
 4. B

  Dada Zetu na Lift

  Gari ni PUSSY Magnet....
 5. B

  ujenzi eneo la jangwani

  umejiuliza kwa nini hakuna comment kwenye uzi huu?JAribu kufikiriA ujinga zaidi utApata jibu kuhusu swal lako
 6. B

  PICHA: Kwanini Ndege ya Serikali inayombeba RAIS in registration # 5H-CCM kwanini CCM

  hii ni ile ya zamani mkuu,ebu chunguza kama hii mpya inayo hiyo Chukua Chako Mapema
 7. B

  Mwigulu Nchemba ataka msajili wa vyama kusitisha Operesheni Sangara za CHADEMA

  TUMBIRI kamaliza UBISHI,tupige umbea-mwanamke au(*****-mwanaume)
 8. B

  Ufafanuzi wa Mch. Gwajima Kuhusu Mkenya wa Dr. Ulimboka

  Ndipo ukweli aliousema Mh LISU kuwa uteuzi wa viongozi wa mahakama umejaa ubabaishaji sana.MAHAKAMA hazina ukweli na uwazi.VIVA Tanzania,VIVA T 2015 CDM
 9. B

  Rose Kamili amemsafisha Dr. Wilbrod Slaa. Hongera Rose Kamili na wenzako mliofanikisha hilo

  wenye akili sahihi kama zako ni wachache sana hapa Duniani.Asante kwa uchambuzi yakinifu
 10. B

  Dr. Slaa na Mnyika kuonja Segerea?

  Nyambafu wewe Mwanaharakatihuru,umetumwa nini?Nwy asante kwa kujiweka wazi jinsi ulivyo punguani wa mawazo.Kama unajielewa upo ktk Tanzania ipi basi katafute habari nyingine ya kutuhabarisha. Usifanye hili jukwaa kama hayo magroup ya FB(Mzumbe).
 11. B

  Mwenyekiti wa CHADEMA Usa River auwawa kinyama

  R.I.P ndugu yangu Mbwambo(Baba Mage)..Hakika damu yangu itawafuata popote pale hawa wauaji.
 12. B

  Kumbe hata baadhi ya Wabunge wa Upinzani wanapokea Rushwa!

  Le mutuz,hakuna anayethubutu kupokea endapo anapewa.Maana njaa ni kali hapa Bongo.Ila ni bora usitoe maana watakupa wakitegemea utawarudishia fadhila pindi ukipata.
 13. B

  Simba vs JKT Ruvu

  doh hivi Yanga walikuwa hawajavua gamba kumbe?Mmh ili vuguvugu la Nguvu ya umma ni balaa.
 14. B

  Hatumtaki James Millya Arusha Mjini: Tunasema NOOO, big NOOOO. Take note Mh: Godbless Lema

  SIMANJIRO 2015.....Kwa sasa apewe mafunzo maalumu yA UKAMANDA.Arusha mjini ni ya Lema daimA.
 15. B

  Godbless Lema avuliwa ubunge

  ITAFAHAMIKA TU.....Kesi hizi anayezichochea ni CCM(Serikali) na zinasababisha matumuzi yasiyo ya lazima ya kodi zetu.CHADEMA ni nguvu ya umma,basi na hodi Jimbo wanalichukua tena..
Top Bottom