Recent content by Baba advent

  1. B

    Naomba kujua tofauti za hizi Keyboards

    Ok asanteni sana wenye ufafanuz zaidi karibuni Sent from my iPhone using JamiiForums
  2. B

    Naomba kujua tofauti za hizi Keyboards

    Naomba kujua utofauti wa kinanda yamaha psr s970 na psr s770 na ni kipi ni kizuri zaidi kati ya hivyo. Asanteni Sent from my iPhone using JamiiForums
  3. B

    Kauli za rais wa Tanzania na mtetezi wa wanyonge Dkt. Magufuli leo mkoa wa Manyara

    Hivi waziri wa nishati na madini ni nini vile.
  4. B

    Prof. Palamagamba Kabudi ni nani!?

    Vip tetesi za kuwa ni baba mkwe BASHITE Kuna ukweli
  5. B

    Mbunge wa Kilombero(CHADEMA) Mh. Lijualikali, afungwa jela miezi sita

    tz yetu, kweli ktk majimbo yote ni lijuapikali tu alifanya fujo?
  6. B

    Moses Machali: Ni fikra chakavu za upinzani kulaani kikao cha CCM kufanyika Ikulu

    Njaa tuuu, aéndelee kujikosha labda ataonwa apewe udc mtwara. Nimeamin siasa kama huna hela usiingie unaweza kuolewa.
  7. B

    Yaliyojiri kwenye ukaguzi wa Polisi katika Ofisi za JamiiForums na Nyumbani kwa Mkurugenzi, Maxence

    Lakini alisema ataomba malaika ashuke na kuzima mitandao yote kwa muda, ko tutegemee mengi.
  8. B

    Inawezekana hii ndio siri ya wapinzani kukaa kimya

    Mi nataka hata bungni wanyamaze maana wabunge wa ccm hawana hoja zaid ya kujibu na kukejeli wachangiacho wapinzani ni mwendo wa kimya kimya, usipo soma lugha za ishara kuelewa awazacho mtu ni ngumu
  9. B

    Hatimaye wanafunzi wa SUA wamepata raisi wa chuo

    Wapuzi nyie mmeongozwa na serikali iliyomaliza chuo tangu mwezi wa 7, leo mnakuja na ujinga wa kuwa mmempata rais ina maana komba alijiogezea muda?
  10. B

    #FreeMaxenceMelo: Tukibaki kimya sote tumekwisha

    Huu ndo msimu mgumu zaid kwa watz, ee mwenyezi Mungu tuepushie hili balaa.
  11. B

    Kesho chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kitakuwa na mkutano na waandishi wa habari

    Mbona wamekumbuka ndiyo maana wamesema utatarifiwa, unataka uambiwe ili haraka haraka akakodi hiyo venue.
  12. B

    Mafanikio ya Rais Magufuli tangu aingie madarakani November 5-2015!

    [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
  13. B

    TAKUKURU wakifanya kazi vizuri, 2020 wafuatao hawawezi kurudi bungeni

    Na yule mle inamotekea sauti si alimtandika mtu bakora huyo vp atarudi?
  14. B

    Haya bei hizo kwa wale wasafiri wa ATCL

    Mbona sawa na nauli za fast jet
  15. B

    Hamisa Mobeto, mtoto mzuri Tanzania nzima

    Mzuri haendi choo?
Back
Top Bottom