Kwa yeyote anayehitaji nyumba ipon mbezi mwisho (mbezi ya kimara) ina hati.
nyumba ni kubwa ina vyumba vitatu vya kulala,
sebule ya kutosha, jiko, choo bafu ndani.
ina kiwanja kikubwa nje ambacho unaweza kujenga nyumba kubwa nyingine kama utahitaji,
iko barabarani umbali wa dakika 10 kwa...