Recent content by Spliffcharm

  1. Spliffcharm

    Fahamu zaidi kuhusu tatizo la minyoo sugu na tiba yake

    Kwema kaka, Mrejesho tafadhali. Ulitumia njia gani kumuondoa huyu kamanda Hookworm maana nami napitia changamoto hiyo.
  2. Spliffcharm

    Fahamu zaidi kuhusu tatizo la minyoo sugu na tiba yake

    Mkuu kwema? Ulisort hili tatizo? Napitia hii changamoto, Msaada wako tafadhali. Ilitumia dawa gani kuosort hili?
  3. Spliffcharm

    Hivi Kariakoo ni kweli kuna Fremu za 3M-5M au ni kutishana tu?

    Ha ha a. Kuna watu mmejaaliwa kunarrate vitu perfectly ase
  4. Spliffcharm

    Mbwa aina ya Bulldog wajeruhi familia

    Asee, Pole sana kwa familia. Huyu sio Bulldog na sio pure Pitbull. Huyu nahisi amecross Pitbull na Boerboel. Pitbull ni mbwa wa kufuga kwa upendo mkubwa mno, na hautakiwi kumfanyisha aggressive training yoyote. Yeye anafundishwa obedience tu. Ukimfanya kama mbwa wa Ulinzi niamini mimi...
  5. Spliffcharm

    BBC imepanga kutoa video inayoonesha Unabii Feki wa TB Joshua

    Mimi sio mlokole na infact nimuumini wa Logic zaidi kuliko believes ila T.B Joshua kwangu alikua mtu noble sana. Jamaa alikua mtoaji sana, habagui dini. Ametembelea nchi zenye ukristo na uislam mkali na amesaidia taasisi na orphanage nyingi sana duniani, wanafunzi kwa wazee wamebenefit sana na...
  6. Spliffcharm

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Asee Havertz amerudi kwenye default settings. Jamaa anachukua masaa mawili kushoot. Clinical Striker ni Vital hakuna kujidanganya.
  7. Spliffcharm

    Natafuta Binti wa kuuza duka la nguo za mitumba

    Mkuu nashukuru sana .. Dogo ni jembe sana. Napata feedback nzuri kutoka kwa wife.
  8. Spliffcharm

    Kwa mtaji wa 2.5M Dodoma naweza nikafanya biashara gani?

    Kwa Dodoma hiyo amount fungua Car wash na ukipata compressor ya kujaza upepo utakuwa umetisha sana.
  9. Spliffcharm

    Wafugaji wa kuku wa nyama tupeane mbinu kuhusu chakula

    Mkuu mimi naomba kujua kuku wa nyama(Broiler) ambao ni wazuri kwa Dar es salaam unapata wapi besides interchick? Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
  10. Spliffcharm

    Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

    Mimi nina Rotweiller na boerboel tu mkuu. Napasuka sana misosi sio mchezo. Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
  11. Spliffcharm

    Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

    Hapo kwenye pedigree ndo sina uhakika mkuu. Watu wana mawe sana asee, kuna breeders bongo wako njema sana na wanaruhusu kutembea uone na ukitaka pedigree papers unaonyeshwa.. !! Sisi wengine machizi mbwa tumetembelea mabreeders mpaka Mwanza huko asee. Sent from my SM-G970U1 using...
  12. Spliffcharm

    Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

    Mkuu bongo kuna mpaka tibetan mastiff. Hao Kangal na Caucasian wapo toka 2017 kipindi icho namimi nafuga. Yupo mtu mmoja anaitwa Nuhu, yuko Kigamboni. Ana page instagram nadhani ..! yupo yule Ras Arusha alabai anao. Bongo kuna breed nyingi sana, watu wamedare kweli, wale St bernard na jamii...
Back
Top Bottom