Recent content by Augustoons

 1. Augustoons

  Sheria mpya usalama barabarani: Mapendekezo ya mabadiliko ya sheria ya usalama barabarani sura ya 168

  Ni vizuri mnapopost habari kutoka sehemu nyingine muwe mna-acknowledge hata kidogo kwa kutaja source. Hii habari iliandikwa na RSA(Road safety ambassadors) TANZANIA kwa kutafsiri mapendekezo hayo kutoka kiingereza kwa faida ya umma. hata hivyo tunashukuru kwa kuusambazia umma ujue kinachoendelea
 2. Augustoons

  Chama cha Wamiliki wa Mabasi chatangaza mgomo wa usafirishaji abiria na mizigo

  Kwa hiyo kama sio hivyo, abiria wanapokuwa njiani watupe uchafu ndani ya basi? mbona hili kimi sioni kama ni gumu? mara nyingi tu nimesafiri na mabasi nimekuta yana dustbin na mkifika hotelini kondakta anatoa anakwenda kutupa takataka safari inaendelea. Mie nadhani hili ni la kimaendeleo. Labda...
 3. Augustoons

  Chama cha Wamiliki wa Mabasi chatangaza mgomo wa usafirishaji abiria na mizigo

  Ila ni sahihi mmiliki kuwajibika kununua vifaa vya uchafu kwenye gari lake
 4. Augustoons

  Chama cha Wamiliki wa Mabasi chatangaza mgomo wa usafirishaji abiria na mizigo

  Of course, takataka zisipotupwa haliwezi kuwa kosa la tajiri moja kwa moja, lakini hizi provisions zimetoka kwenye draft ambayo SUMATRA waliitoa tarehe 2 march for discussion, ambapo TABOA pia walialikwa. sasa sijaona final draft kama bado imeretain hiki
 5. Augustoons

  Chama cha Wamiliki wa Mabasi chatangaza mgomo wa usafirishaji abiria na mizigo

  Sheria hizi ni mbili tofauti, makosa yanayohusu uendershaji faini zake ziko chini ya ROAD TRAFFIC ACT, ambapo faini kwa kosa la papo kwa papo ni 30,000. Makosa ya leseni ya usafirshaji ni kwa mujibu wa TRANSPORT LICENSING ACT
 6. Augustoons

  Chama cha Wamiliki wa Mabasi chatangaza mgomo wa usafirishaji abiria na mizigo

  Kanuni inatafsiri kabisa mwanafunzi ni nani. “pupil” means a scholar of kindergarten, primary or secondary school; “students” means scholars of post-secondary education;
 7. Augustoons

  Chama cha Wamiliki wa Mabasi chatangaza mgomo wa usafirishaji abiria na mizigo

  *KINACHOSABABISHA MGOMO WA WAMILIKI WA MABASI NCHINI NI MAJUKUMU MAPYA KWA WASAFIRISHAJI AMBAYO WAMILIKI WANAYALALAMIKIA CHINI YA KANUNI MPYA ZA SUMATRA*. *Majukumu haya yanapatikana katika rasimu ya Kanuni mpya za Usafirishaji Abiria* (THE TRANSPORT LICENSING (PUBLIC SERVICE VEHICLES)...
 8. Augustoons

  Chama cha Wamiliki wa Mabasi chatangaza mgomo wa usafirishaji abiria na mizigo

  Ni kweli kwa kiasi kikubwa hawataki wao kuwajibika wanataka dereva awajibike zaidi
 9. Augustoons

  Chama cha Wamiliki wa Mabasi chatangaza mgomo wa usafirishaji abiria na mizigo

  *KINACHOSABABISHA MGOMO WA WAMILIKI WA MABASI NCHINI NI MAJUKUMU MAPYA KWA WASAFIRISHAJI AMBAYO WAMILIKI WANAYALALAMIKIA CHINI YA KANUNI MPYA ZA SUMATRA*. *Majukumu haya yanapatikana katika rasimu ya Kanuni mpya za Usafirishaji Abiria* (THE TRANSPORT LICENSING (PUBLIC SERVICE VEHICLES)...
 10. Augustoons

  Chama cha Wamiliki wa Mabasi chatangaza mgomo wa usafirishaji abiria na mizigo

  Nadhani kikubwa SUMATRA wanachotaka ni kwamba wakikupa leseni ya usafirishaji basi wewe kama miliki utii yale masharti. Yaani wewe ndio umsimamie dereva wako, sio wewe uache gari haina usimamizi uwe busy na kupokea hela tu ila kinachotokea barabarani usijali
 11. Augustoons

  Chama cha Wamiliki wa Mabasi chatangaza mgomo wa usafirishaji abiria na mizigo

  Na makosa ambayo yanambana mmiliki ambayo awali yakimbana dereva utayaona hapo, hakuna kifungu kinachosema mmiliki atafungwa jela kwa makosa ya dereva yanayohusu uendeshaji gari. Makosa ambayo sheri hiyo inashughulikia ni makosa yanayohusu ukiukwaji wa masharti ya lesen kama vile kukatisha ruti...
 12. Augustoons

  Chama cha Wamiliki wa Mabasi chatangaza mgomo wa usafirishaji abiria na mizigo

  Kanuni hizo mpya tarajiwa ni hizi hapa. Hii ni version iliyojadiliwa siku zile pale Mwalimu Nyerere Convention centre na wadau kutoa maoni yao
 13. Augustoons

  Chama cha Wamiliki wa Mabasi chatangaza mgomo wa usafirishaji abiria na mizigo

  Ingekuwa vema sana kabla ya kuanza kurusha lawama tusome hiyo sheria inasemaje kisha ndio maoni yaje. Ngoja niisake
 14. Augustoons

  Chama cha Wamiliki wa Mabasi chatangaza mgomo wa usafirishaji abiria na mizigo

  Hawa TABOA mie bado sijawaelewa kwa kweli. Huu mgomo wanaotangaza kushinikiza bunge lisipitishe sheria inayowabana ni sheria gani hiyo?? Mbona ukiangalia hata website ya bunge huoni muswada wa namna hiyo? Au wanachanganya madawa hawa? Ninachojua mimi, SUMATRA wako kwenye mchakato wa kutunga...
 15. Augustoons

  TANZIA: Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

  Yupo salama, mhifadhi wa selous amethibitisha. suala lilikuwa ni kutua vibaya tu. sio kwamba ilipoteza contacts.
Top Bottom