Recent content by Askof Mstaafu

  1. Askof Mstaafu

    Gamondi hamna kocha, Yanga ligi hachukui, atapoteza mechi zote kubwa, today I have seen the light

    Kuna timu gani ambayo haifungwi? Kashinda mechi ngapi ngumu? Kupoteza mechi ni sehemu ya kawaida sasa wewe umekaza matako na kizungu uchwara chako niseme wewe mpira huujui umeweka ushabiki mbele matako ya shangazi yako! Sio kila sub unayoifanya itazaa matunda ng'ombe wewe! Huelewi chochote...
  2. Askof Mstaafu

    Mpira unapogeuka mchezo wa maigizo

    Tarehe 9 mambo yatakuwa hadharani ukweli utajulikana tu! Haiwezakani wenyeji ndio waliongoza kuteleza kwenye uwanja wao kuliko wageni
  3. Askof Mstaafu

    Natafuta kazi yoyote ya kupata angalau 15,000/= Tsh per day

    Hili suala la kupiga vibarua kwenye ofisi za watu masaa kibao malipo kidogo + masimango na manyanyaso niliacha nimefungia vyeti vyangu ndani tu! Elfu 15 kwa siku kwa maisha ya town haitoshi hata kidogo!
  4. Askof Mstaafu

    Nilimpa sehemu maalum moyoni badala yake kanipiga na kitu kizito, asanteni sana wanawake

    Kama mwanaume mwenye koromero na friza moyoni linagandisha jambo dogo kama hili nisingelileta huku kabisa ningebaki nalo kifuani hata jirani simwambii!
  5. Askof Mstaafu

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    jaribu na wewe
  6. Askof Mstaafu

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    [emoji848]
  7. Askof Mstaafu

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    ukitaka kumuua nyani usimwangalie usoni
  8. Askof Mstaafu

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    !!
  9. Askof Mstaafu

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    !
  10. Askof Mstaafu

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    few moment of glory
Back
Top Bottom