Recent content by Champion_Boy

  1. Champion_Boy

    Wanawake ndiyo wamebeba laana?

    Mshana Jr Majibu Tafadhali ulimwengu wa Kiroho hii imekaajeh?
  2. Champion_Boy

    Mnaojua maana ya namba pitieni hapa

    Kitabu Kinaitwa moja ya page kutoka Katika kitabu cha " I wish I knew this 20 years ago"
  3. Champion_Boy

    Ni manufaa yapi tunayapata kuwa Raia wa Tanzania?

    Brother hapo Kwenye Zanzibar ikikupendeza naomba ufafanuzi kidogo
  4. Champion_Boy

    VODACOM wameachia rasmi

    Jamaa unaishi Kigoma??
  5. Champion_Boy

    Polisi Tanzania: Hatutegemei kuona sherehe za Pasaka wakati Nchi bado ipo kwenye maombolezo

    Jeshi la Polisi nchini limesema halitegemei kuona sherehe na shamrashamra za Pasaka kama za kipindi cha nyuma katika kipindi hiki ambacho nchi bado ipo kwenye maombolezo ya kuondokewa na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.
  6. Champion_Boy

    Ni rahisi kamba kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuingia mbinguni

    Hivi kuna mchawi kama tajiri??? Au mwizi kama tajiri anavyowanyonya wanyonge?? We unadhani kwanini Yesu alimwambia Yule tajiri awagawie mali zake zote maskini kisha amfate??
  7. Champion_Boy

    Ni rahisi kamba kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuingia mbinguni

    Kila Utajiri anaukafili Nyuma yake Ndo maana huwezi kumkuta mtu mwenye kufata NJIA ZA MUNGU na sheria zake akawa nimwenyepesa nyingi Sababu anajua utamsahau tu So hizo AB sizani kama kunaukweli
  8. Champion_Boy

    Apigwa na askari hospitalini akisubiri kununua dawa za mama yake mzazi katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Shinyanga

    Kipande kifupi cha video tulichotumiwa na Lydia Lefi, Mkazi wa Shinyanga cha tukio la Walinzi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga kumchapa mikanda kijana ambaye amedai ni mdogo wake kwa kosa la kupitiliza muda wa kuona wagojwa katika hospitali hiyo. Kwa mujibu wa maelezo ya Lydia anasema...
  9. Champion_Boy

    NYARAKA: Watoto wa Magufuli, Dotto James na mke wa Makonda na viwanja huko Ununio, Dar

    Kwa wanaouliza eneo Zitto kawajibu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Champion_Boy

    Osama Bin Laden katika picha

    Mvulana aliyevaa shati la kaki (brown) wa pili kushoto ni Osama bin Laden hapo akiwa na umri wa miaka 14. Picha hii ilichukuliwa mwaka 1971. Osama bin Laden aliuawa kwa kupigwa risasi na kikosi maamlum cha Marekani May 2 2011 Nchini Pakistan. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Champion_Boy

    Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

    Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Champion_Boy

    Maswali yanayohitaji majibu baada ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imemwekea vikwazo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Christian Makonda

    Naona watu wanajadili zuio la Makonda kuingia Marekani badala ya kujadili sababu zilizopelekea hilo zuio. Wenye akili ndogo wameanza kusema "Kwani Marekani ni mbinguni? Kwani asipoenda atapungukiwa nini?" Hii ni comment ya Mbunge mmoja wa CCM kule Twitter. Lakini hoja si Makonda kuzuiwa...
Back
Top Bottom