Recent content by CARDLESS

  1. CARDLESS

    Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Mkuu Iran sio waaarabu.
  2. CARDLESS

    Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Wenyewe Israel wanalalamika hizo Drone za Shaheed ndio zimeharibu UKRAINE.
  3. CARDLESS

    Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Hizi habari zako zinafanana na zile za Ukraine kwamba wamelipua Magari 400 ya Urusi.
  4. CARDLESS

    Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Just as it was for Russia in Ukraine. Vp mlimshinda huyo Urusi? Acheni midomo, mwanaume kaingia mzigoni nanyi ingieni.
  5. CARDLESS

    Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    We ni kichaa... Kwamba Iran hana Nyuklia??
  6. CARDLESS

    Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Achana na stori, Drone za IRAN sio za kitoto.
  7. CARDLESS

    Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Ameshindwa wapi na amemega eneo kubwa la UKRAINE.. We ni chizi na Upande unaoshabikia wote mnakula kichapo, nyie ni Mshoga tu.
  8. CARDLESS

    Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Huwa mnajidanganya sana na Israel, kwa kifupi Israel ni taifa la kipuuzi na halina lolote lile. Kila siku inategemea nguvu za washirika wao kama UK, USA na FRANCE. Sasa muiran kaingia mazima.
  9. CARDLESS

    Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Saudi na Iran now ni wamoja, usijichanye kabisa.
  10. CARDLESS

    Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Haya maneno mliyatumia kwa URUSI pia kuwa anatafutwa leo kiko wapi??
  11. CARDLESS

    Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Alijam mfumo ni IRAN sio Israel get to know.
  12. CARDLESS

    Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Ashavamia sasa.
  13. CARDLESS

    Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Kupoteza??? Fatilia moto wa Iran
Back
Top Bottom