Recent content by Alwaz

  1. Alwaz

    Angalia Treni za umeme zilivyolala hapa nchini China. Sisi tuna miliki nyoka wangapi?

    Nimewahi kuingia mojawapo kutokea chini ya ardhi. Yaani stendi halisi iko chini ya ardhi, Kituo cha mwendo kasi kuliko uwanja wa ndege wa JKNI kiharakati
  2. Alwaz

    Israel inavyorudi upya Gaza kwa nguvu, ni wazi kulikuwa na njama kati yake na Marekani kuiwacha Iran ishinde ili kupata ushindi wa Gaza.

    Yapo mambo mengi ambayo yametoa picha ya namna Israel na Marekani wanavyoshirikiana kimkakati ili kuhakikisha Israel inaitawala Gaza na Palestina yote bila upinzani. Ni kweli Israel ilikuwa na nia ya kuipiga Iran kwa nguvu kubwa na kuleta madhara zaidi lakini kwa kushauriana na Marekani na kujua...
  3. Alwaz

    Jamaica yaitambu Palestina rasmi kama taifa

    Tanzania inatakiwa ifuatie haraka kama nchi inayopenda ukombozi ya wanaokandamizwa. Au hiyo sera imepotea.
  4. Alwaz

    Jamaica yaitambu Palestina rasmi kama taifa

    ili kupata kuungwa mkomo Israel na Morrocco,Marekali iliitambua Sahara magharibi kama jimbo la Morocco
  5. Alwaz

    Jamaica yaitambu Palestina rasmi kama taifa

    Sahara magharibi imeshadidimizwa na US.
  6. Alwaz

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Sio watu wa mdomo mdomo mtupu.NI watendaji na wenye juhudi tena katika ya wakati mgumu. Ni watu wanaomtukuza Mwenyezi Mungu hata wakijua kuna binadamu anasababisha mateso yao. Wakipigwa wanarudisha kwa kadri wanavyoweza Wakipata kingi wanakula na wakikosa wanashukuru na kugawana kidogo...
  7. Alwaz

    Jamaica yaitambu Palestina rasmi kama taifa

    Katika utambuzi wake huo Jamaica imesema imefanya hivyo kwa kutekeleza maazimio ya umoja wa mataifa na kanuni za usawa na kuheshimiana. Kilichoisukuma kufanya hivyo ni vita vinavyoendelea Gaza na dhulma wanazofanyiwa wapalestina. Ni nchi gani zitafuata kufanya maamuzi ya hekima kama ya Jamaica.?
  8. Alwaz

    Inga Stone; Jiwe, Mwamba wenye fumbo utata maajabu na maswali yasiyo na majibu kwa Binadamu wa kizazi hiki!

    Hamna cha ajabu hata chembe.Na miaka 6000 nyumba katika umri wa dunia ni karibuni sana.Sasa sijui umeshangazwa na nini. Kama kuna cha kujifunza ni kuwa waliojua hayo mambo yanayoonekana ya ajabu walifunzwa na yule yule anayetupatia ujuzi sisi wa sasa.Ambae kuwepo kwake hakuna mwanzso na mwisho...
  9. Alwaz

    Rwanda itafaidika na nini kupokea wakimbizi toka Ulaya

    Ni ujinga tu.Na itakuwa imeunga mkono ubaguzi wa wazungu.
  10. Alwaz

    Rais wa Israel asema Netanyahu ataondoka tu

    Kumbe alizaliwa US kwanini analeta shida namna hii
  11. Alwaz

    Marekani yazidi kubembeleza ili ibaki Niger

    Kwa vile raisi mstaafu Obama ana asili ya Kenya.
  12. Alwaz

    Israel yapanga kumalizia hasira zake kwa watoto, wakina mama na walemavu huko Rafah

    Vita vya kisasa ni mbaya sana.sehemu ya kupigwa inalengwa kutoka hata kilomita 6000. Israel mpaka Iran ni zaidi ya kilomita 1000 na bado Iran imeweza kupiga ndege na njia ya kurukia ndege. Akitaka anaipiga mpaka nyumba ya Netanyahu. Kwa kujua uwezo wa Iran ambao mwanzo ilikuwa ni wa...
  13. Alwaz

    President Erdogan welcomed President Hassan of Tanzania with an official ceremony

    Ziara nyengine za kiserikali inabidi uangaliwe afya yako mwanzo na upate semina. Mama lazima alichukua semina ya namna ya kupokewa.
  14. Alwaz

    Rais wa Israel asema Netanyahu ataondoka tu

    Sawa.Tunasubiri
  15. Alwaz

    Marekani yazidi kubembeleza ili ibaki Niger

    Niger hawana urafiki na wanyonyaji.
Back
Top Bottom