Recent content by Ambition plus

  1. Ambition plus

    Furaha Dominic, Mpwa wa Hayati Magufuli apandishwa Kizimbani kwa kusambaza Picha za Ngono

    Kwani ni lazima kumtaja JPM kwenye huo upuuzi, Ndugu wengine wa mbali,furaha yako ni kumchafua jiwe.
  2. Ambition plus

    Wanaume mna roho mbaya ndiyo maana mnakufa mapema

    Je ndoa ni kila kitu kwako? Unaweza ukaolewa na ukaachika ama usiwe na amani. Je ni nani anaishi milele hata akiwa mwema? Hakuna watu wema wanakufa wakiwa na umri mdogo? Hakuna jipya Dunia hii,yote ya zaman, single mother wako toka tangu na tangu.
  3. Ambition plus

    Shughuli Gani inaweza nipa faida ya 10Pct net profit Kila mwezi kwa mtahi WA million 20 hapa Dar au kwingineko?

    Ukitaka mali utaipata shamban, kilimo ni kila kitu...piga research ya kutosha mkuu..ingia shamba
  4. Ambition plus

    Job vacant, Parts sales person

    Fursa hii share na mwenzio
  5. Ambition plus

    Job vacant, Parts sales person

    Punguza hasira mkuu,nina iman we sio muhitaji, maswali yote yanajibiwa hapa kwenye comments, tuma cv hio.
  6. Ambition plus

    Job vacant, Parts sales person

    Arusha na mwanza
  7. Ambition plus

    Job vacant, Parts sales person

    Job Title: Parts Sales Person Major Duties and Responsibilities: Sells products and/or services to meet the customer's needs. Maintain customer goodwill by greeting and acknowledge all customers he/she comes in contact with. Keeps the store clean and orderly. Record all sales and/or customer...
  8. Ambition plus

    Wanaume ni bidhaa adimu, wanaume wapo wanawake ndiyo hakuna

    Imagine, nafikiria kuoa..ila sioni mke Wacha hivi hivi
Back
Top Bottom