Recent content by Kidamabi

  1. Kidamabi

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kwanini unauliza swali linalokuhusu?
  2. Kidamabi

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Ndogo haifai maana watu huwa hamridhiki
  3. Kidamabi

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Zawadi yangu inabidi nipewe tu maana mimi ndio mshindi
  4. Kidamabi

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Koffi Olomide - Papa Bonheur
  5. Kidamabi

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Rangi ya chungwa😄😄
  6. Kidamabi

    CHADEMA inavyonufaika na watu 'smart'

    Utaitwa mpinga serikali ya viwanda i.e Mzalendoless
  7. Kidamabi

    Fikra na hoja tofafuti juu ya watu wanaotumia mkono wa kushoto

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  8. Kidamabi

    Mama Kanumba asikitishwa na kitendo cha Lulu kutolewa jela. Asema "Siku zote maskini hana haki"

    Umaarufu haukufanyi upewe adhabu tofauti na wengine ambao sio maarufu
  9. Kidamabi

    Je! Ni Conte au Mourinho FA Cup?

    Kivp yaani, maana ukisema kiuwepesi kunanifanya nitake kujua labda kuna dawa ambayo Conte ameipata
  10. Kidamabi

    Mei Mosi 2018, Rais Magufuli alifanya utafiti kuthibitisha ukweli wa hotuba yake?

    "No research, No right to Speak" aliyoyaongea na kinachotokea kwenye manunuzi (mahemezi) ya bidhaa husika huku mitaani ni vitu viwili tofauti, labda kama alikuwa anaongelea YAJAYO KUFURAHISHA!!!
  11. Kidamabi

    Kichekesho: Uongozi wa Ali Kiba kupitia Clouds wasema ''Mvumo wa radi' kubuma youtube ni kutokana na traffic kubwa

    Hapa hukupaswa hata kutuuliza kama ni kweli au si kweli maana mwanzo wa thread yako hadi mwisho inaonyesha jibu unalo na swali lako haliko balanced. Ukiwa na thread yenye jibu tayari kama usi-dive bora tu ukapotezea watu tukaendelea kutifua nyuzi zingine huko
  12. Kidamabi

    Kuna siri gani kwa wazaliwa wa mwisho(vitinda mimba)

    Huko kwenye kudeka inategemea mzazi mwenyewe hasa mama, kwangu mimi nilikuwa nakung'utwa vzr tu nikikosea. Kwa sababu ya utundu wangu kichapo kiliponizidia ilibidi nihamie kwa Bibi mzaa mama. Japo kulikuwepo na kudeka, kaukorofi ka hapa na pale na ugomvi but nilipoingia primary ghafla nikawa...
  13. Kidamabi

    Najiuliza: Kaniambia "swala la mimi kufanya mapenzi litoe akilini"

    Daaaah! Hizo romances anazokupa ni zipi labda au anakupea katikati ya barabara tena mchana kweupe? Anipe romances na XXX acheki namwangaliaga tuu?[emoji23][emoji23][emoji23]. Aisee ningekuwa ndio mm mashuhuda wangekuta manyoya tuu...kiufupi unamlea na kumdekeza vilevile
Back
Top Bottom