Recent content by Alnadaby

  1. Alnadaby

    Hii ni picha halisi ya tukio zima la kuapishwa kuwa rais kwa awamu ya pili 2010-2015

    Unapotaka kufanya biashara ya siasa mtaji wako ni watu.Ukishakuwa na wapiga kura wasioyumba kiasi kama 5 million unabaki na kazi ya kutafuta nyingine mara mbili kama hizo.Hiyo ndiyo base yako. Kwa hesabu hii Jakaya Mrisho Kikwete atakuwa ni Rasi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.Wana Chadema...
  2. Alnadaby

    Elections 2010 TBC1, huu si uungwana!

    Hakuna chama kilichopata adha ya kupambana na CCM kama CUF.Kuna kumbukumbu ya hata wanachama wake waliuawa kwa sababu ya kutetea demokrasia. Kuwataja kama CCM B au C ni kutojua historia ya chama hicho cha wananchi.
  3. Alnadaby

    Neno La Leo: Ng'ombe Kipofu Na Ng'ombe Aliyevunjika Mguu!

    Nimesoma na nimepata maudhui ya maana.Endelea na kuandika na ambao hawaelewi watakuuliza!
  4. Alnadaby

    Kama JK anakubalika 61% hofu na ghiliba hizi za nini?

    Ni kweli kwa mujibu wa gazeti la Tanzania Daima Slaa ni mbele kwa mbele na tishio zaidi.
  5. Alnadaby

    Mh Slaa apanda chati na avunja Rekodi

    Uchambuzi wako unaonekana ni sahihi,ila naona upande wa wabunge Chadema itapata takriban 30% ya wabunge wa kuchaguliwa.Hatua hii itakifanya kuwa kiongozi wa wapinzani bungeni. Pamoja na expectation kubwa kuwa ni kigezo cha wao kukata tamaa,hapo nasema no ila nafikiri kuwa hii itakuwa changamoto...
  6. Alnadaby

    Elections 2010 JK: Serikali haina uwezo wa kutoa huduma za jamii bure

    Kila kata mbili zina shule ya sekondari.Hilo si dogo.Ni hatua ya kupongezwa.Sasa kilichobaki ni kulinda hizi shule na kuzipatia vifaa na walimu.Hiyo ni hatua inayofuata.Haihitaji Phd kufahamu kuwa ni ahadi iliyotekelezeka.
  7. Alnadaby

    Raia Mwema na JamiiForums wanapotosha?

    Sijaona majibu stahili ya post hii.Ukweli ingekuwa wakubwa wa jamii forums watoe majibu ya kina na muafaka.Majibu ya" hatudanganyiki" hayana uzito kwa sababu hayakujibu hoja iliyowekwa mbele yetu.
  8. Alnadaby

    Who is Benson Bana?

    Huyu Bana wa REDET sample yake bomu na hawa wa SYNOVATE nao pia hawaaminiki au sample yao nisawa na ya REDET?
  9. Alnadaby

    Elections 2010 Dr. Slaa aongoza kwa 73% - CACT

    Hakuna anayetegemea wale waliopata asilimia ndogo katika utafiti huo wakae kimya!Imani yao na utafiti uliofanywa vinakuwa ni vitu visivyowiana. Kwa wale walipewa aslimia kubwa hiyo ni ishara ya ushindi kwao.Kama tafiti haziaminiki hakuna haja ya kupiga kelele kwa sababu mwisho wa yote ni...
  10. Alnadaby

    Clouds Media wamwandalia Kikwete Birthday 2010?

    Nakutakia kila la kheri.Mungu akuangazie na akupe maisha marefU.Happy Birthday JK.
  11. Alnadaby

    Wassira: Dk. Slaa ni kama Dereva Learner Kujaribu Ku-Drive Basi la Abiria!

    Inabidi kufanya mashindano ya sura.Nani ana sura nzuri Slaa au Wasira?
  12. Alnadaby

    Elections 2010 CHADEMA kuitisha Maandamano Makubwa wiki ijayo

    Mimi naona wataachwa waandamane tu kwa sababu kuandamana ni haki yao.Kinachotakiwa ni kuwa maandamano yawe ya amani.
  13. Alnadaby

    Nataka kujitoa chadema naomba ushauri

    Wewe jitoe tu ya nini kuwa na Mabere Marando wakati unajua ni shushushu na alichokifanya NCCR unakijua!
  14. Alnadaby

    Elections 2010 Ya Gazeti la Raiamwema na makala za Mbwambo; Tujadili hoja

    Bwana Mbwambo anaandika kile anachohisi yeye binafsi na kukiweka wazi.Je maadili ya uandishi wa habari yanafuatwa?Tuna magazeti mengi yenye makala mbalimbali na wote hao kuna mahali wanapoegemea. Kutokana na hilo hapo juu ni wazi kuwa Mbwambo yuko kwenye vita dhidi ya JK akijitahidi kumpakazia...
  15. Alnadaby

    Wakati Wa Sharia Law Umefika

    Hatutaki udini na ukabila...ondoa kabisa upumbavu wako hapa.
Back
Top Bottom