Recent content by ALLEN MWAKIPESI

  1. A

    Kutoka viwanja vya Karimjee, Buriani kwa Mh Regia Mtema

    NASIKITIKA KUPOTELEWA NA NGUGU YETU MSHAURI WETU , MPAMBANAJI WETU NA JEMBE LETU HASA UKIJUA KWAMBA TANZANIA IANAHITAJI WATU MAKINI KAMA REGIA ILI TUFIKE KKATIKA UHURU WA KWELI WENYE TIJA KWA MAISHA YA MTANZANIA WA HALI YA CHINI HIVYO NGUGU ZANGU NA WANA JF WENZANGU TUTAMUENZI VIPI...
  2. A

    Kutoka viwanja vya Karimjee, Buriani kwa Mh Regia Mtema

    NASIKITIKA KUPOTELEWA NA NGUGU YETU MSHAURI WETU , MPAMBANAJI WETU NA JEMBE LETU HASA UKIJUA KWAMBA TANZANIA IANAHITAJI WATU MAKINI KAMA REGIA ILI TUFIKE KKATIKA UHURU WA KWELI WENYE TIJA KWA MAISHA YA MTANZANIA WA HALI YA CHINI HIVYO NGUGU ZANGU NA WANA JF WENZANGU TUTAMUENZI VIPI...
  3. A

    WHY, and WHY CHADEMA?

    Sometimes it is god's plan and sometimes it is people plans that is why ol these happens my sister
  4. A

    Nini faida ya kuoa mwanamke ambaye ni bikira

    :juggle: NNA MASHAKA NA AKILI ZENU HASA YOU WHO SUPPORTED THE USED WOMAN HOW COMES IF YOU TAKE HER TO YUR HOME THEN AKAENDELEA OKUTOA HUDUMA NJE YA KITUO? OK JIBU SASA NOTHING IS THERE IN VIRGINITY RATHER THAN PRESTAGE
  5. A

    Nini maana ya uhuru jamani?

    Naomba kujua maana halisi ya uhuru na je tanzania ni nchi huru?
  6. A

    Kwa wale tunaotembea na waume za watu

    Nawashangaa nyie mnao mzogoa na kumnyooshea vidole mwenzenu bila kujua ni kwanini kaamua kufanya hivyo labda kuna kitu anakikosa kwa mume wake au ana yake tu lakini pia kama unataka kumsaidia mtu usimwendeekwa fujo namna hiyo sema nae taratibu thwn atakwambia kwanini anatembea na mume wa mtu...
  7. A

    Je ni Haki Tanzania kuingilia uchaguzi wa DRC na kupeleka Wanajeshi wetu?

    Tatizo la tanzania na serikali yake ni kiherehere wanajifanya wako fresh kimilitary but wanachukifanya sasahivi ni kwamba wanaweka akiba ili ikifika 2015 wakati wa hukumu yao na wao wapate military support from them kwahiyo sio fea mkuu
  8. A

    Viongozi wa CHADEMA wavamiwa hotelini na Green guard wa CCM-Igunga

    Makamanda wa cdm ni makamanda wa kulinda demokrasia sasa hao wa hicho chama kilichopoteza dira nashindwa kuwaelewa kwani hawafai hata kuitwa makamanda maana kazi yao hawaijui kwan kazi ya makamanda ni kuhakikisha kuwa haki inatendeka wakati wote nasi kufanya fujo puuumbavu!!
  9. A

    Mwenyekiti wa BAVICHA atoa onyo kali kwa viongozi wa serikali akiwemo mkuu wa wilaya ya Igunga

    Hawa polisi wengine wanawashwa sababu kazi yao si kupiga watu kazi yao ni mulinda wananchi na ieleweke kwamba wanalipwa kwa kazi ya kuwalinda wananchi kwahiyo naunga mkono hoja ya heche na kusisitiza kuwa vijana tuko macho kupambana na kila aina ya uonevu dhidi ya raia wema
  10. A

    Wimbo wa CHADEMA kuhusu miaka 50 ya uhuru

    Wana cdm tuna majembe mawili sugu anaweza kwani tulishuhudia antvirus ilivyokua kazi nzuri lakini pia tunaye roma mkatoliki jamani na ameapa kutorudisha kadi ya chama kama nakaya sumary kwahiyo naunga mkono hoja na haya majembe mawili yanatosha kabisa kumaliza hiyo shughuli
  11. A

    Tafakariii.....?chukua hatuaa

    Hizo biashara kichaa za kulala na ni nani anaweza hata mapasta wenyewe hawalali hivyo na hao sio wezi hao ni majirani tu
  12. A

    Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    Jamani wana jf chadema ya 2011 siyo ile ya 2005. Chadema ina mizizi mikubwa na tayari chadema imeingia kwenye damu za watu sasa inabidi ifike mahali rtuondoe hufu na mashaka kwani tunaweza na cha msigi zaidi ni kwamba kura za igunga zitalindwa na wanaigunga peke yao kama ilivyokua arusha...
  13. A

    Hivi sisi ni masikini?

    Jamani tz siyo masikini kwani tuna malighafi za kutosha tatizo hatuna vionguzi watakaoweza kuwaelekeza watu namna ya kutumia malighafi zinazowazunguka kwahiyo tatizo siyo malighafi tatizo ni usimamizi mbovu wa matumizi ya rasilimali za uma.labda kwa nia njema tu kwakua mjomba kayuongoza huu ni...
Back
Top Bottom