Recent content by Allan Clement

 1. Allan Clement

  Tumeshateka mamilioni ya kura, sasa ni wakati wa kuteka mioyo ya wapiga kura

  Nawasalimu ndugu zangu, huku kipekee kabisa nikipongeza ushindi wa JF kwenye baadhi ya kesi zinazoendelea huko! naamini tutashinda zote, Ni wazi kuwa JamiiForums ni mahali salama kabisa kwasasa, na tuendelee kuomba Mungu sehemu hii iendelee kuwa salama tena! Nikirudi kwenye uzi wangu, mtu...
 2. Allan Clement

  University Admission Results 2020

  Sisi wa OUT vipi jamani
 3. Allan Clement

  Sioni kosa la OCD wa Hai kumwambia Mbowe kuwa hatomshinda Mgombea wa CCM

  'Hutashinda!, nani kakuambia utashinda? Unawadanganya wananchi wako kuwa utamshinda huyo?.. HUTASHINDA HATA UFANYAJE" Hayo ni maneno niliyojaribu kuyanukuu kutoka kwenye ile video inayoendelea kutrend kwasasa, Kama tujuavyo wapinzani wamelalamika mara nyingi kuhusu mwenendo wa jeshi la polisi...
 4. Allan Clement

  Serikali Ingetumia mfumo rasmi Kuwapunguzia kazi Walimu.

  Mishahara hawajaongezewa miaka mitano hii, ndio wapewe laptop
 5. Allan Clement

  VIDEO: Msemaji wa CCM aisifia CHADEMA mbele ya mama Samia Suluhu

  wakati mwingine mpaka Mungu anaingilia kati masuala mengine
 6. Allan Clement

  VIDEO: Msemaji wa CCM aisifia CHADEMA mbele ya mama Samia Suluhu

  wakati mwingine mpaka Mungu anaingilia kati masuala mengine
 7. Allan Clement

  TFF, Bodi ya Ligi na Azam TV wanahujumu soka la Bongo

  hata hiyo ratiba imewashinda kupanga ndio kama hivi sasa
 8. Allan Clement

  TFF, Bodi ya Ligi na Azam TV wanahujumu soka la Bongo

  Kwa akili ya kawaida sana katika hali tuliyo nayo ya kiangazi na joto kali. Unalazimisha vipi timu zicheze saa 8 kamili mchana wakati wa jua kali, na wakati huo huo kuna timu zinakaa siku 6-8 bila kucheza. Ulazima huu wa saa 8 unatokea wapi? Kama ni suala la mechi zote kuonyeshwa kwanini...
 9. Allan Clement

  azam kutoa la-liga, na kuleta bundasilga ,nini maoni yako?

  kwangu mimi naona huku ni kuchemka kabisa kama EPL imeshindikana ni bora tungebaki Spain, na la liga yetu, ambapo walau kuna mabingwa wawili, Barcelona na Real Madrid, kuliko huku ambapo unaona kabisa Bayern anatawala peke yake, wewe unaonaje
 10. Allan Clement

  Suala la mishahara linakuzwa mno, tuzungumzie maslahi ya watumishi kwa ujumla

  Walioajiriwa 2014 mpaka sasa wana miaka mingapi kazini? Je wamepanda daraja lipi? Ongezeko la mshahara kila mwaka Julai 1 ,limetolewa lini? Mtoa mada huna ndugu yako huko serikalini akakupa Hali halisi?
Top Bottom